Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,196
- 1,292
Umeongea kweli kabisaNimejitahidi kusoma mpaka mwisho na ni ukweli mtupu atakae elewa na aelewa
Kutoka na kutembea katika mataifa mengine ni elimu tosha
Kweli mtu anapiga hela au tuache kuiba hata hela za halali unashindwa hata kupanga baada ya kila miaka 2 ukaenda kuburudika nje na kujifunza mengi
Kweli waliosafiri sana huwa na maendeleo kuliko waliojifungia ndani bila kujua kinachoendelea duniani
Ndio maana kina v8 wataishia kuonyesha sura za huruma badala ya kufungua viwanda watasubiri wapate tena vyeo serikalini shame
Hebu Wahaya na wachaga wapeni darsa hawa watu waliorogwa kuwa siasa eti iko kwenye damu na akitolewa huko au kufukuzwa kama paka mwizi hawezi hata kufungua biashara eti anaona aibu
Kuna watu wanaishi kwa kutaka kuonekana kwa hiyo holiday anaona ni kupoteza mda bora akae tu