Nimesahau pete NAMNANI HOTEL nikiwa mchepuko!

tuseme wadau hakuna aliyeokota hii pete jamani. maana hapo namnani wanadai hawakukuta kitu. inavyoonyesha huenda ilidondoka kwenye parking pale. Zawadi nono itatolewa. nimeiandika jina kwa ndani DEUS RWECHUNGURA
 
pole sana...!kachonge tu nyingine hiyo Fanya umetoa sadaka

Ukiulizwa na Mrs.Blessing muambie nilichafuka vidoleni katika kunawa nkavua Pete Mara simu ikaita nikapokea sasa Pete nikiweka juu ya sinki nikaisahau hapo hapo!nikaondoka kuja kushtuka sina Pete!!
Nikarudi sikuikutaa
Dah! Watu mnajua kujitetea ili kuficha maasi
 
ukuje utwambie mkuu, ila ipo siku ukweli utajulikana mkuu maana umeacha alama za kukamatwa nyingi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom