Nimesahau pete NAMNANI HOTEL nikiwa mchepuko!

Mi mjinga sana kwenye mapenzi then sijui kudanganya na nkidanganya utajua hapohapo lands hizi za kawaida

Ila sio kucheat!!huko hapana yaani!
Sema bado hujapata sababu ya kucheat, ukija kupata sababu ya msingi utakua mzoefu wa kudanganya pia.
 
Duuh! Sa kwanini uliivua? Ni bora uvae tu ili mdada ajue kua umeoa. Sa ona ulichojisababishia! Afu wenzako wanavua na kuweka kwenye wallet au mfukoni.
Loh!!! experience yako ni beyond reasonable doubt;);)
 
Pete ni ya maana kuliko dushe lako ulilotumbukiza kwa mchepuko? Pete inakaa moyoni mheshimiwa,ila nawalaumu sana wazungu kwa kutuaminisha kuwa pete ndio kila kitu kwenye ndoa,tena tujilaumu ujinga wetu kwa kuamini pete.
 
Mi mjinga sana kwenye mapenzi then sijui kudanganya na nkidanganya utajua hapohapo lands hizi za kawaida

Ila sio kucheat!!huko hapana yaani!
Kuna mmoja aliwahi kuniambia hivi...mbele ya safari kah nilikutana na project ya hatari behind my back na macho makavu ukimuuliza anavyoshusha maneno kwa mpangilio kuificha,
kumuwekea ushahidi mezani ni kuhema eti anaomba nimuwahishe hospitali amepata presha ya kushuka kwani ni tatizo linalomwandama siku nyingi...
Kaaah bora mtu akuachie hata room ya kutomuamini sana kupunguza mshtuko mwisho wa siku kuliko hivi mnavyofanya,
''Sijuagi kudanganya nikidanganya lazima utajua hapohapo''

Wacheni hizi best
 
I swear on my living...!!yani mie huwezi nikamata hats kidogo kwwnye hizo...!
 
Muulize Adam Kighoma Malima yeye alimwambia nini wife wake siku zile alivyoporwa pete ya ndoa ya mwenzio wa pembeni pale hotelini Morogoro hahahahahahahahahahahahahahahah
 
Wanaume ndio wanaoongoza Duniani kote kuleta Ukimwi majumbani mwao.
Hili halina ubishi ni kweli sisi wanaume tunachepuka sana kwa mfano mimi mke wangu yupo likizo Kilolo mie nipo Tanga lakn nawapiga wasichana hatari ndo hivo mama
 
Kama kuna aliye karibu na namnani hotel akaniulizie pale mapokezi kama wameniokotea pete yangu room # 60 nilikuwa na mdada flani bonge mweusi. Nimefika mbali naelekea Iringa msibani tafadhali. Zawadi NONO itatolewa
huna simu ya hotel mkuu?
 
Ukirud home jibu hiv

Eeh my dear nikuchekeshe siniliingia choo cha shimo kujisaidia kipindi natawaza si naona nyoka mbele yangu,

Sikujua nimalizaje kutawaza wala kuvaa
Basi linaondoka ndiyo naona sina Pete,
Yaan imeniuma wee acha Tu!

Ila itabidi nikanunue ingine then niende kwa padre akaibariki.
 
Hivi hapo namnani hapanuki kweli,maana kila mchepukaji atakuambia namnani,si patakuwa pananuka sana,na mwenye hiyo sehemu kuuona ufalme wa mungu mmmh,bora ngamia kupenya tundu la sindano.
 
Wadau sina Namba ya Simu ya NAMNANI mwenye nayo anisaidie huenda mfanya usafi asubuhi aliiona. Wife ni mnyakyusa "full ubabe na maneno ya shombo"yaani sitamani hata kurudi home.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom