Nimesahau Password ya CCTV Camera nifanyeje?

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
242
431
Habari wanaJF. kwa yeyote mwenye uelewa ukisahau password ya CCTV anisaidie.

IMG_20210801_204120_7.jpg
 
Kwasababu solution ipo hapo mbele yako ambayo ni kutumia email kureset password.

Nimeuliza hivyo kwakua kama ni yako ni lazima una hiyo email au una taarifa za kuthibitisha wewe ndiye mwenye hiyo device.
Haisaidii nmefatilia you tube naon sjaelew fresh
 
Mpigie simu medard kalemani hata zile za lissu alizifanyia maujafanja.
 
Yangu,vip ndug unajua solution apa.
Sijawahi tumia cctv ila naassume ina protocol ile ile katika kureset password.

Kwanza that means hiyo device ulipoinunua wauzaji wana database ambayo wamehifadhi taarifa yako. Pia hiyo database ndiyo hua unaingia na kulog in na kuhifadhi taarifa zako.

So kiukweli suluhisho ni wewe kuingia katika database yao na siyo Youtube.

Kwa kufuatisha walichoandika hapo Ni kwamba ukiingia katika database yao utagewa option ya kureset password.

Hayo maelezo yanaonyesha kuna database ya Hkvision ambayo huko utaonyesha email iliyosajiliwa na akaunti na utatoa taarifa zingine za muhimu ili kureset password yako.

Nimewacheki website yao naona page ya kuomba kureset password ni hii hapa: kazi ni kwako

 
Njia rahisi ni kutafuta mtaalamu eneo lako mwenye programmer asome hilo file la flash memory yake ni 4mb mpaka 8mb alafu anaruni kwenye linux na binwalker anapata password ngoma inakua imemalizaka
 
Sema ni brand gani??
Yangu ni Dahua nilisahau nikafanikiwa kwa kuiunganisha na internet kisha nikaweka email wakanitumia reset code nikabadili ikawa poa. toka siku hiyo hadi leo siwezi sahau na wife nimemuambia code
 
Habari wanaJF. kwa yeyote mwenye uelewa ukisahau password ya CCTV anisaidie.

View attachment 1876740
Hik vision Hawana miujiza hao, reset ianze upya. Namna ya kureset, ichunguze vizuri ina kijisehemu cha kubonya na kitu chenye ncha kama pen, ukipaona press for like 30s to 1min ikiwa connected kwenye power. From there utakuta imerudi kwenye default settings then unaireconfigure upya, ikigoma rudia zoezi several times, kama huoni sehemu ya kureset fungua bamba LA nyuma ipo tu.
 
Back
Top Bottom