Wakati ulivokuwa unaweka nywila ulisoma vigezo na mashartiNatumia simu (sio simu ya Android) aina ya Oking 1712. Nimesahau password niliyokuwa naitumia. Naombeni msaada wenu wa ku-unlock bila kui-flash. Inawezeka?
Sasa hiyo si simpo tu kiongoziSio Android mkuu, ni "keypad phone" ya kawaida.
Mule mule mkuu, hata keypad ni mtk na rockchipSio smartphone, ni "keypad phone" ya kawaida tu.
Kweli ataread password na kazi itakuwa imekwisha kabisaMara nyingi no name smartphone ni mtk ama Rock chip, hizo zinatoka bila kuflash, tafuta fundi mwenye box za kutolea.