Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 4,435
- 4,151
Kwani hujasikia maelfu wamekufa kwa covid-19! Rais wetu hakufa kwa covid-19 wala changamoto ya upumuaji bali A. Fibrillation! Hivyo mambo ya covid-19 hayakufua dafu kwa comred wetu! Upo hapo? Msiupe utukufu usiokuwa nao!
Covid-19 haina cha utukufu. Inavuruga metabolism kiasi kwamba michakato ya mwili haifanyi kazi inavyopasa na kusababisha maafa kwa mwenye matatizo kama ya moyo, diabetes, hypertension, tb, nk. Ni ulaghai kutaka kutumia mambo ya imani kwenye janga hili pekee.
Hao maelfu unaosikia wamekufa kwa Covid-19 ni taarifa zinazotolewa na nchi zenye ukweli na uwazi kuhusu maambukizi na athari za Covid-19 nchini mwao.