Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 575
Wana jf nimerudi toka jelaa jela ni mbayaaa hii ya jf ukishakuwa jela huna uhuru tena wa kuchangia taaabu tupu
askari wajf ni wakatili sana walikuwa wananipa chakula kwa siku maramoja maji glas mojaUache sasa zile post zako za kijinga jnga....
Karibu tena....tuambie umejifunza nn ulipokuwa Segerea...
mimi siyo makamuzi ni mpigamsuli makamuzi ni jinga fulani hiviiUmetumikia jela kwa kipindi gani wewe Makamuzi?
nimetumikia jela miezi mitatuUmetumikia jela kwa kipindi gani wewe Makamuzi?
Ulitenda kosa gani?Wana jf nimerudi toka jelaa jela ni mbayaaa hii ya jf ukishakuwa jela huna uhuru tena wa kuchangia taaabu tupu
nilitukana mkuuUlitenda kosa gani?
kama ulikuwa unapata conjugal visit walau once a week sio mbaya. Mwanaume hasifiwi kula. Pole mwaya.askari wajf ni wakatili sana walikuwa wananipa chakula kwa siku maramoja maji glas moja
nitakuwa na busara zoteeeeee wakuupole sana mkuu mpigamsuli,karibu tena jamvini.
Jitahidi usile ban nyingine mkuu.
Ha ha haaah!! Acha matusi kijana usije pigwa tena ban.nilitukana mkuu