Unataka kufa?au mpaka akuletee HIV ndo utajua kama kimeo huyo
tumecheki ngoma bado hajapata,ila hasemi alikopata kisonono
Usimuache komaa nae hadi akuue...
Naombeni ushauri jamani huyu mtu ni mwaminifu kweli? nimetoka safari leo nakuta sehemu zake za siri zinatoa maji meupe(usaha) tumepima leo kaonekana ana kisono, sasa najiuliza nifanyeje nimuache au nifanyeje?
hapo ndo mwsho wakuishi namie inaonesha ni jinsi gani amenidharau kupita kiasi