Nimerudi tena

God bell

JF-Expert Member
May 13, 2011
590
210
Wapendwa wanaJF nilipotea kwa miezi kadhaa likini nimerudi. Hii ni kutokana na matatizo ya kiafya yalonikumba. Kwa sasa niko hewani tuendeleze hili jahazi la maisha. Asanteni
 
Karibu tena, tupo kama ulivyotuacha ila sura mpya zipo nyingi usishangae!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom