Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,406
- 78,556
[mentio]Preta kashaolewa na mwarabu mmoja hivi...wanaishi Muscat...
Tena yuko mbioni kubadili jina aitwe Nusrat,
TANMO yuko Mbuguni mwaka wa ishirini na saba sasa bado anasaka Fuba, ukiona kimya basi yuko ku.mani anatega baruti...
Mapendo.
Hapo chacha...!!
Upo Mkuu?
Nasikia wewe na wenzako Bishanga na Bi. Dominic mliamua kufilisi JF Udaku kisha mka-enter the Tree?
Aaah wapi, tatizo mhariri ulipotea nikaingiwa na wasiwasi kuwa labda wamechukua kucha na jicho, niko mchakatoni kutoa tolea la June...
location mkuukwan ulikuwa wapi mpaka urudi.
aisee..kheri ujifiche. TANMOSi unajua jinsi wahariri tunavyowindwa Bana?
Ngoja nijifiche kwanza, manake huu ni upepo tu, ukipita nitarejea..
ukivuna mie nataka pepeta...na mahindi ya makande..toshaakwani ulipotelea wapi wewe walikuban miaka yote hiyo kwanini hukuwaliberali hao bandugu haya karibu lakini tuko kwenye mavuno ya mpunga na mahindi sasa kazi kwako
pita ndaniBeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
beee........
karibu jamvini