Nimerudi tena wana cc

[mentio]Preta kashaolewa na mwarabu mmoja hivi...wanaishi Muscat...

Tena yuko mbioni kubadili jina aitwe Nusrat,
TANMO yuko Mbuguni mwaka wa ishirini na saba sasa bado anasaka Fuba, ukiona kimya basi yuko ku.mani anatega baruti...

Mapendo.
 
Hapo chacha...!!
 
Upo Mkuu?
Nasikia wewe na wenzako Bishanga na Bi. Dominic mliamua kufilisi JF Udaku kisha mka-enter the Tree?

Aaah wapi, tatizo mhariri ulipotea nikaingiwa na wasiwasi kuwa labda wamechukua kucha na jicho, niko mchakatoni kutoa tolea la June...
 
Si unajua jinsi wahariri tunavyowindwa Bana?
Ngoja nijifiche kwanza, manake huu ni upepo tu, ukipita nitarejea..
 
kwani ulipotelea wapi wewe walikuban miaka yote hiyo kwanini hukuwaliberali hao bandugu haya karibu lakini tuko kwenye mavuno ya mpunga na mahindi sasa kazi kwako
nimerudi tena wana jamvi
nimerudi tena na moto ule ule
wapi. Preta..wapi TANMO..wapi@Cantalisia..na wengineo
nimerudi mzima ingawa mambo bado..

kama uko pouwa..itikia bee kwa akina dada na akina mama
kama wewe kaka au baba utajua chakuitikia...
 
kwan ulikuwa wapi mpaka urudi.
location mkuu
Si unajua jinsi wahariri tunavyowindwa Bana?
Ngoja nijifiche kwanza, manake huu ni upepo tu, ukipita nitarejea..
aisee..kheri ujifiche. TANMO
kwani ulipotelea wapi wewe walikuban miaka yote hiyo kwanini hukuwaliberali hao bandugu haya karibu lakini tuko kwenye mavuno ya mpunga na mahindi sasa kazi kwako
ukivuna mie nataka pepeta...na mahindi ya makande..toshaa
 
Last edited by a moderator:
nimerudi tena wana jamvi
nimerudi tena na moto ule ule
wapi. Preta..wapi TANMO..wapi@Cantalisia..na wengineo
nimerudi mzima ingawa mambo bado..

kama uko pouwa..itikia bee kwa akina dada na akina mama
kama wewe kaka au baba utajua chakuitikia...

Beeeeeeeeeeeeeeee!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom