Wisdom Flag
Member
- Oct 16, 2018
- 28
- 18
Habarini wana programmers..
Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui tatizo nini.
Na kwenye ile tutorial naona cout iko na rangi iliokoza sio kama yangu TATIZO NI WAPI WAKUU NISAIDIENI
Nikibonyeza kweny run au build and run inakuja hako kadialog, nikibonyeza Yes inakuja hivyo hivyo kadialog tena.
Ila nikibonyeza no inakuja kama hapo chini excution yake.