Nimerudi tena: Natafuta mke wa kufanana nami

Mungu akuongoze mkuu, maana huku bongo watu wako nyuma San, wanadhani wanaumme wanaotafuta wake mitandaoni n Malaya, wana kasoro au vyovyote vile lkn huo sio ukweli! Inawabidi wachangamkie seal
Nashukur sana Mkuu,unaifaham MAGAKA ya Koromije?
 
5c4f15ab7cca7016c5d7ae5e72e94e14.jpg
huyu mnafanana hasa macho
Ni kweli nimefanana nae sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom