Nimerudi tena kwenu nahitaji kazi, nina shahada ya Uchumi na Takwimu

Nov 20, 2014
79
134
Habarini wanajamvi wenzangu,

Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimerudi tena kwenu kwani mwezi may tar24 nilipost hitajio langu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi/ Connection yoyote halali popote ndani ya Tanzania hii nimerudi nikiamini kwamba mtafutaji hachoki bado Niko na uhitaji wa kazi kila kukicha afadhali ya Jana bado napambana huku na kule kupata chochote katika kupambana huko huku napo bado sijakataa tamaa kuwakumbusha ndugu zanguni bado nahitaji msaada wenu wa Hali bna Mali kutoka katika kipindi hichi nnacho kipitia tafadhali ninawaombenimnisaidie maelezo yangu mafupi.

Ni baada kumaliza shahada yangu ya kwanza nilijiunga na Jeshi la kujenga taifa (JKT) nimefanya mafunzo na majukumu mbalimbali ndani ya chombo hicho kwa miaka mi3 kuanzia Nov 2017- Dec 2020 bahati mbaya sikubahatika kupata ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama paka mkataba wangu ulipomalizika kwa sasa nipo Mkoani Arusha.

Umri wangu: 29yrs
Elimu: Shahada katika Uchumi na Takwimu.
Niko teyari kufanya shughuli Yeyote halali mahali popote ndani na Tanzania bila kujali elimu yangu, mazingira wala changamoto mpya.

Sifa
Mwepesi kujifunza vitu vipya, mchapa kazi, Mwaminifu, mcha Mungu, mstahimilivu,mtu wa kufocus kakika kupata matoke chanya katika utendaji lakini pia msiri.

Kwa Yeyote mwenye kuweza kunisaidia au kunishika mkono au hata kunionyesha njia ya kupita tafadhali ninaomba anisaidie na Mimi naahidi sitamwangusha ukini-PM nikipata ujumbe wako nitakujibu kwa wakati kwa Jambo lolote kuhusina na uzi huu ikiwemo hata ushauri karibuni sana.

Natanguliza shukrani Zangu za dhati kwenu nyote.
 
Nicheki 0656 884397.
 
Arusha walitangaza nafasi za mkataba mgambo wa jiji, au askari wa jiji...

Jitahidi uombe kwa cheti chako cha jkt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom