Nimerudi salama-Niliwamiss sana

Status
Not open for further replies.
Mkuu kwenye post yake Regia anasema nimerudi salama toka Kilombero na hii inadhihirisha kuwa ametoka huko kurudi huku mjini na si kurudi JF...

'huku mjini' ndo wapi? Mwanza? Dar? Unguja? Wewe unajua kwa uhakika hiyo mjini ni wapi?
 
Mimi nabadili lahaja kila microsecond, i have to go back to the mental surveillance tape to find out which lahaja I switched to at that particular moment. Of course it is quite possible that due to some privacy clauses hizo cameras zinaweza kuwa hazijarecord certain aspects of the mental process with regards to the linguistics.

come again!

chukua na ghanima basi ujalizie kwenye hiyo lahaja yako :smile-big:
 
Hii concept nzima ya "kurudi" kutoka Kilombero mimi napata tabu nayo sana. Inaonekana Kilombero -pamoja na majimbo mengine ya vijijini- ni sehemu za kwenda wakati wa uchaguzi tu, uchaguzi ukiisha watu wanarudi kwenye shughuli zao za kawaida mijini.

Badala ya wagombea walioshindwa mwaka huu kubaki huko vijijini kuimarisha vyama vya upinzani, kuisadidia jamii pamoja na kupanga mikakati ya kushinda hivi viti katika uchaguzi ujao, tunaona increasingly "wanarudi" mijini.

Wapinzani wakiendelea kushindwa katika kila chaguzi zijazo watashangaa kweli kwa mwendo huu wa kwenda majimboni nyakati za chaguzi tu, na chaguzi zikiisha wanarudi mijini kwenye mitandao na urahisi wa maisha ?

Tunawatendea haki wananchi kweli kwa mwenendo huu ?

Hata walioshinda pia wamerudi mjini!
 
Wapwaz na Binamuz wote.

Ni matumaini yangu kuwa wote mko salama.Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wale wote kwa namna moja ama nyingine mmeshiriki kufanikisha uchaguzi wa mwaka hu popote pale mlipo kwa ngazi yoyote ile iwe udiwani,ubunge na hata urais,pongezi sana!!!.

Napenda kuwaambia kuwa nimerudi salama toka Kilombero,nimepambana kadiri ya uwezo wangu na kufika hapa nilipofika.namshukuru MUNGU niko salama kabisa na nitaendelea kuvinjari kwenye jukwaa letu pendwa la urafiki na mapenzi.

Nimewamiss si kidogo!!!Natafuta muda nionane na baadhi yenu.

With love
Regia

Hongera sana na pole sana kwa shughuli za kampeni,
Karibu tena, Usikate tamaa kwani mapambano yanaendelea.

Tushirikishe uliyojifunza huko.
 
you are now just picking on her unfairly. Some of your pre-election criticism against her was legitimate and i shared some of the sentiments. But you crossed the line when you declared she was going to lose before a single ballot was even cast and you continued with your talk down of her. Yours wasnt constructive criticism at all! As if that wasnt enough, here you are, back at it in full force exactly where you left off

I don't think it is about picking on her unfairly, she should actually feel honored that people are taking an interest in her career and dissecting her moves in a nuanced fashion :)

If you thought I crossed the line when I declared she was going to lose, at least have the decency to congratulate me on my accurate prediction. I sensed that she did not have what it took to convince the people, not from an opposition's point of view. A person of a lesser conviction and intelligence could carry the seat for CCM because obviously CCM is the incumbent party and they have the state machinery, an opposition candidate must pay the "opposition tax", meaning be far and beyond the convincing line. And Regia simply did not demonstrate this. I know this is neither fair nor level, but it is just how things operate unfortunately. I hope she will have the sense to reflect on it and take the necessary action.

My being back here talking about Regia is a part of my recognition of her potential, nataka tufanyie kazi pale tuliposhindwa. Look, Mnyika hakushinda Ubungo on his first try, Regia ana nafasi bado 2015, ndiyo maana nasikia vibaya kuona Regia anatoka Kilombero wiki moja baada ya uchaguzi.

Kama bado ana nia ya kuwawakilihsa wananchi wa Kilombero, Regia anahitaji kutumia muda wake mwingi zaidi Kilombero. That is the gist of my appeal.
 
Maisha lazima yaendelee, lakini si lazima yaendelee mjini tu, hususan kwa watu waliotoka kujinadi kama wadau wakubwa wa maendeleo ya watu wa majimbo ya vijijini.

Wabunge wote pamoja na wadau wengine wanaojinadi kuwa au kutaka kuwawakilisha wananchi wa majimbo ya vijijini inawabidi wawe wakazi wa huko huko vijijini, sio mnawapelekea wananchi wagombea ubunge watalii ambao hata wananchi hawawajui. Na wakishindwa uchaguzi wiki moja tu wanakitoa "kurudi" mjini kwenye viyoyozi wakisubiria uchaguzi ujao.
Mada ya kurudi mjini kama ungeona ni ishu kubwa kwako basi uifungulie bandiko lingine...sasa hivi tumepoteza mwelekeo, nia halisi ilikuwa ni Regia taratibu atupashe kilichojiri huko jimboni, hasa ukizingatia kuwa alikumbana live na nguvu ya wanasiasa wachakachuaji...Tusionyeshe mno kujua mbele ya macho ya watu!...haitusaidii....Waswahili wenzio wanasema "Ukitafuta sana chanzo cha MKIA utashika MBOLEA!"
 
umetoa somo zuri la tofauti za lahaja. Ila kwa kiarabu hakuna 'mwa' kwa hiyo mwalim inakuwa 'maalim'. Sasa tusiiteke nyara mada ya regia na haya mambo ya isimu maana gaijin naye siku hizi anajifanya 'mtaalam' wa lugha

Sikuwa naongelea Kiarabu, nilikuwa naongelea lahaja ya Kiswahili cha Unguja na jinsi WaUnguja wanavyotaka Kiswahili chao kiwe karibu zaidi na kiarabu.
 
Kiranga nakubaliana na hoja zako ila nina wasiwasi unapost mfululizo kumyima Regia aituhabarishe kilichojiri huko jimboni Kilombero au umetumwa na mafisadi nini?
 
Kiranga umeongea point sana kama utakuwa mmoja kati ya watu watakaomeet nae mpe huo ushauri.
Dada regia hongera kwa hadi hapo ulipofikia
 
Dada Regia,
Kwanza nakupa hongera for being among the few ambao mme dare try.
Nimekufahamu vizuri zaiidi kipindi hiki cha uchaguzi, haswa kupitika update za kilichokuwa kinaendelea toka kwa Mzee Mwanakijiji.
Karibu tena jamvini.
Kiranga, nadhani Kilombero ndio roots za Dada Regia, ila base yake ni mahala pengine. Hoja zako ni za msingi kuwa wagombea wajenge base vijijini au huko majimboni, lakini ni ukweli usiofichika, ili kujenga base imara, lazima uwe na rerources za kukupa sustainability. Kumshinikiza Regia kubaki Kilombero kama hana means za sustainability, ni waste. Naamini points zako, logic yake na underliying reasons behind hoja zako atakuwa amekosoma, na naamini, amerejea au mjini, au jukwaani lakini sio ndio ataitelekeza Kilombero na kuibuka tena 2015.

Kwa wanamageuzi wote, lazima tutakuwa tumejifunza from lessons za uchaguzi huu na the games people play. Dr amepata somo, Regia pia amepata somo na wengine wengi sio tuu tumejifunza bali tumehamasika na naamini wengi wetu tutaingia kuwa more pro active na kutumia kipindi hiki kujijenga na kupanga mikakati ya 2015.

Hongera tena Regia.

Pasco
 
I don't think it is about picking on her unfairly, she should actually feel honored that people are taking an interest in her career and dissecting her moves in a nuanced fashion :)

If you thought I crossed the line when I declared she was going to lose, at least have the decency to congratulate me on my accurate prediction. I sensed that she did not have what it took to convince the people, not from an opposition's point of view. A person of a lesser conviction and intelligence could carry the seat for CCM because obviously CCM is the incumbent party and they have the state machinery, an opposition candidate must pay the "opposition tax", meaning be far and beyond the convincing line. And Regia simply did not demonstrate this. I know this is neither fair nor level, but it is just how things operate unfortunately. I hope she will have the sense to reflect on it and take the necessary action.

My being back here talking about Regia is a part of my recognition of her potential, nataka tufanyie kazi pale tuliposhindwa. Look, Mnyika hakushinda Ubungo on his first try, Regia ana nafasi bado 2015, ndiyo maana nasikia vibaya kuona Regia anatoka Kilombero wiki moja baada ya uchaguzi.

Kama bado ana nia ya kuwawakilihsa wananchi wa Kilombero, Regia anahitaji kutumia muda wake mwingi zaidi Kilombero. That is the gist of my appeal.

had she lost fairly i would have been the first one to say 'my boy called it and he got it right and super big ups'. But knowing what i know i dont believe she lost that seat. She got robbed in broad daylight. It took how many days to announce the winner? And didnt itv call the election for her and then took back the announcement? In my opinion she didnt lose. They just did her wrong.
 
Mada ya kurudi mjini kama ungeona ni ishu kubwa kwako basi uifungulie bandiko lingine...sasa hivi tumepoteza mwelekeo, nia halisi ilikuwa ni Regia taratibu atupashe kilichojiri huko jimboni, hasa ukizingatia kuwa alikumbana live na nguvu ya wanasiasa wachakachuaji...Tusionyeshe mno kujua mbele ya macho ya watu!...haitusaidii....Waswahili wenzio wanasema "Ukitafuta sana chanzo cha MKIA utashika MBOLEA!"

Actually hiyo habari ya kuanzishia thread habari ya wanasiasa kukaa mijini wakati wanataka kuwakilisha majimbo ya vijijini nimeshaianzishia thread hata kabla ya post yako.

Ona hapa

https://www.jamiiforums.com/matukio/85892-wapinzani-waanze-kampeni-za-2015-sasa.html

Lakini ukweli kwamba nimeianzishia thread yake haunizuii kujadili hapa, hamna muongozo wa JF unaovunjwa wala swala la kimsingi linalonizuia kujadili. Zaidi ya hapo naona swala la msingi pekee lililopo hapa ni wewe kwa kutaka kuwazuia watu kujadili mambo kuvunja spirit ya motto ya JF "where we dare to talk openly".

Angalia usije kusema watu wanataka kuonyesha kujua mbele ya macho ya watu wakati ukweli unaweza kuwa wewe ndiye unayetaka kuonyesha kujua sana mbele ya macho ya watu.
 
Kiranga bana, kumbe una bifu za watoto wa sekondari. Just one question do u think Regia would be interested in your type of criticism on her?

If you have some genuine concerns as to how she should be running her life after elections why don't you contact her privately? After all who r u to determine how close and the manner of closeness a candidate should be with the electorate?

Huyu dada anastahili pongezi kwanza kabla hata ya kuanza kumcriticize, wht she has done probably most of us will never do it in our lives! Ameingia kwenye vitabu vya historia na still she's a potential of becoming a Kilombero MP in some near future. Ameweza kuthubutu kufanya kile ambacho most of theople including you Kiranga thought it was impossible. Wengi wenu humu mtaishia kuandika mivolyumu na mivolyume ya makaratasi ambayo yatabaki humo humo kwenye makaratasi,

Mtu hata hajapumzika tayari ng'e ng'e mmh! mha he! ng'iii.................kwa kifupi sio ustaarabu.
 
had she lost fairly i would have been the first one to say 'my boy called it and he got it right and super big ups'. But knowing what i know i dont believe she lost that seat. She got robbed in broad daylight. It took how many days to announce the winner? And didnt itv call the election for her and then took back the announcent? In my opinion she didnt lose. They just did her wrong.

kuweka information sawa tu

itv siku wanatangaza walisema Regia kapata kura 18000 na kitu, Regia alikuwa pembeni akawaambia kuwa sio hizo ni 38000+ kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi. Yule mtangazaji aliyekuwepo na Regia akajitia kiherehere akatangaza hizo 18000+

wakaandika kuwa Mteketa amepata 42000+ ambayo ni 50+% na Regia 18000+ ambayo ni 45%. (ambayo ni wazi kwa hesabu zozote zile ni wrong).

itv walipojua kuwa wamekosea, ndio wakaandika kuwa Regia ameshinda kwa kura 38000+ wakimaanisha kuwa hajapata 18000 lakini Mteketa anaendelea kubaki na kura zile zile 42000+

so kusema itv ilimtangaza mshindi si sahihi japo kuwa kwa mengine uko sahihi.
 
akhsante kwa kunisahihisha. Ila ukweli unabaki palepale kuwa irregularities zilikuwa nyingi mno kiasi cha kufanya/ kutengeneza mazingira yanayofaa kuchakachua matokeo ya kura zilizopigwa. Kwa hiyo bado sijashawishika kuwa regia alishindwa kihalali.
 
Kiranga bana, kumbe una bifu za watoto wa sekondari.

Slow down son, nani mtoto wa sekondari hapa, Regia ?

Just one question do u think Regia would be interested in your type of criticism on her?.

The real question is not even in her interest, but rather her sense of comprehension and how thick-skinned she is, being thick-skinned and empathic at the same time constitute a key leadreship quality.

If you have some genuine concerns as to how she should be running her life after elections why don't you contact her privately?

You seem not to understand the fact that there is nothing personal here. I am focused on the destiny of our leadership as an institution, not in one person. It just happens that Regia is the vessel of my message, the person who happens to occupy the instance that illustrates my concept.

After all who r u to determine how close and the manner of closeness a candidate should be with the electorate?

I am just presenting a worldview that is relevant to myself, and so far you are not able to knock it down. What are you trying to tell me, abandoning ship after a week is what we should aspire to ?

Huyu dada anastahili pongezi kwanza kabla hata ya kuanza kumcriticize,

Wengine tunaamini hakuna haja ya kupongeza failure, wanapongezwa washindi, sio walioshindwa.

wht she has done probably most of us will never do it in our lives

Right,

Most of us will not hobnob with party bigwigs kuwa nominated ku run for parliament. Certainly not me.

Ameingia kwenye vitabu vya historia

Kama nani ?

na still she's a potential of becoming a Kilombero MP in some near future.

Not if she doesn't change her act, the essence of my comments.

Ameweza kuthubutu kufanya kile ambacho most of theople including you Kiranga thought it was impossible.

Hakuthubutu kufanya nilichosema hawezi, nilisema hawezi kuingia bungeni na ignorance yake, hakuingia. Amefanmya kipi ambacho nilifikiri hawezi ?

Wengi wenu humu mtaishia kuandika mivolyumu na mivolyume ya makaratasi ambayo yatabaki humo humo kwenye makaratasi.

Kwa hiyo wewe unawajua "wengi wetu humu" na kazi zao zote ?

Mtu hata hajapumzika tayari ng'e ng'e mmh! mha he! ng'iii.................kwa kifupi sio ustaarabu.

Ustaarabu unaujua wewe?
 
Mimi sioni Tatizo kabisa la huyu dada
Kaka/dada Kiranga mkaribishe dadako JANVINI
 
Slow down son, nani mtoto wa sekondari hapa, Regia ?

The real question is not even in her interest, but rather her sense of comprehension and how thick-skinned she is, being thick-skinned and empathic at the same time constitute a key leadreship quality.

You seem not to understand the fact that there is nothing personal here. I am focused on the destiny of our leadership as an institution, not in one person. It just happens that Regia is the vessel of my message, the person who happens to occupy the instance that illustrates my concept.

I am just presenting a worldview that is relevant to myself, and so far you are not able to knock it down. What are you trying to tell me, abandoning ship after a week is what we should aspire to ?

Wengine tunaamini hakuna haja ya kupongeza failure, wanapongezwa washindi, sio walioshindwa.

Right,

Most of us will not hobnob with party bigwigs kuwa nominated ku run for parliament. Certainly not me.

Kama nani ?

Not if she doesn't change her act, the essence of my comments.

Hakuthubutu kufanya nilichosema hawezi, nilisema hawezi kuingia bungeni na ignorance yake, hakuingia. Amefanmya kipi ambacho nilifikiri hawezi ?

Kwa hiyo wewe unawajua "wengi wetu humu" na kazi zao zote ?

Ustaarabu unaujua wewe?

Sawa mzee wa ligi!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom