Nimerudi nimekuta Jirani yangu (Mke wa mtu) kanifulia nguo

NIMEPATA JANA HUO UJUMBE
Kijana wangu ile dawa niliyokupa jana ndio imeng'arisha nyota yako upande wa mapenzi.
Hii itakugarimu sana maana nilikwambia usimsalimie yeyote zaidi ya yule uliyekuwa ukimtanani
Kwenye kioo changu hapa kinaonesha wewe ulijisahau ukaanza kumsalimia huyo jirani yako ambae ni mke wa mtu badala ya kumsalimia yule dada uliyesema unamtaka.

Sijui nikusaidieje mjukuu wangu katika hili

Wako babu kiburunje

Nani alishawahi kutumiwa ujumbe wa namna hii na wale matapeli
 
Back
Top Bottom