Nimerudi na Kasi mpya

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Baada ya kupotea JF kwa takriban miezi 12 nimerudi nikiwa na kazi na weledi usiopimika. Nabisha hodi naomba kukaribishwa.

Wenu,

Leroy

JF Senior Expert Member
 
Nakukaribisha kwa mikono mitatu ila; Angalizo hiyo kasi mpya isije ikawa kama ile alotwambia JK enzi akiomba kura kwa wadanganyika.

Welcome back mkuu.
 
Back
Top Bottom