Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,164
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili nisamehewe. Pia namshukuru Invisible kwa kuonesha utu na uungwana wa hali ya juu. Huyu jamaa anafaa kuchukua nafasi ya Ngeleja kwakweli.