Nimerudi baada ya siku nne za upweke

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili nisamehewe. Pia namshukuru Invisible kwa kuonesha utu na uungwana wa hali ya juu. Huyu jamaa anafaa kuchukua nafasi ya Ngeleja kwakweli.
 
Mimi naona anafaa kuchukua nafasi ya JK kabisa siyo ya Ngeleja.
 
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili nisamehewe. Pia namshukuru Invisible kwa kuonesha utu na uungwana wa hali ya juu. Huyu jamaa anafaa kuchukua nafasi ya Ngeleja kwakweli.

Mimi naona anafaakuchukuwa Nafasi ya NAPE
 
Mwita ur so funny hasa kuona ulijiita umbwa! Karibu tena ila behave bhana, watu wakikukera jaribu kupotezea manake ip yako ikifungiwa utanifanya na mimi niikose Jf. Be chaming and not violent! OK? Welkam
 
Karibu tena..............4 days without your insights, critics and that kiinglithi bana....dah, i did personally missed you kidogo nimwombe Inv anirestishe in peace kwa niaba yako but mmmmmmhhhhhhhhhh!!!!

E bana karibu tena mkuu
 
Mwita ur so funny hasa kuona ulijiita umbwa! Karibu tena ila behave bhana, watu wakikukera jaribu kupotezea manake ip yako ikifungiwa utanifanya na mimi niikose Jf. Be chaming and not violent! OK? Welkam
 
Mwita ur so funny hasa kuona ulijiita umbwa! Karibu tena ila behave bhana, watu wakikukera jaribu kupotezea manake ip yako ikifungiwa utanifanya na mimi niikose Jf. Be chaming and not violent! OK? Welkam

Ndio style ya Nape hiyo
 
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili nisamehewe. Pia namshukuru Invisible kwa kuonesha utu na uungwana wa hali ya juu. Huyu jamaa anafaa kuchukua nafasi ya Ngeleja kwakweli.

ukome na weeh , unaongea sana, yaani kama malkia wa mipasho
 
Karibu sana mkuu! ila sometime punguza ukali wa maneno bana....alafu how come ulijihita Mbwa?
Binafsi naamini wewe ni bonge la Great thinker na unaupeo mkubwa sana kumkichwa yako,sema
wewe sometime unapenda kujichetua makusudi tu!. Pia jiepushe na baadhi ya memberz ambao
watakupelekea kupata bann kwa kujibizana mambo ya kipumbapumba tu yasiyo na tija kwako wewe
wala kwa Taifa lako.....karibu tena jamvini Mwita25
 
Karibu sana Kijana.Sasa ubadilike maana tulioanzisha maandamano ya kuomba urudi tutaonekana hatufai
Tumefurahi umerudi coz jukwaa hili wakati mwingine linapwaya bila wewe.

Namshukuru Invisible kwa kuangalia upya BAN yako kama tulivyoomba
 
Kijana Mwit25, mimi ni mkubwa wako fuata ushauri wangu.

Nimekuombea sana.. Invisible jamaa smart sana
 
Formulate and stamp
indelibly on your mind a mental
picture of yourself as succeeding.
Hold this picture tenaciously and
never permit it to fade. Your mind
will seek to develop this picture!

...Nakuchokoza Mura, haahhaaahh hhhaaa
 
dah... umeingia loss kweli... per day za siku nne mkuu zimekupita hivhivi
 
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili nisamehewe. Pia namshukuru Invisible kwa kuonesha utu na uungwana wa hali ya juu. Huyu jamaa anafaa kuchukua nafasi ya Ngeleja kwakweli.

mkuu inakuwaje unajiita mbwa???nilifikiri wewe ni bonge la intelligent kumbe ovyo
kule kwa magamba kunakufaa sana,upande wa wapiganaji tunakuona kama kenge kwenye msafara wa mamba!
 
Karibu Mwita25 aka Mbwa n.k Nilishawahi kukupa angalizo uwe makini na baadhi ya wanaJF kuwa ni watu hatari sana wanaweza kukuingiza king makusudi halafu ukijitusu tu umekula ban. Onyesha kuwa umebadilika sasa.
 
mkuu inakuwaje unajiita mbwa???nilifikiri wewe ni bonge la intelligent kumbe ovyo
kule kwa magamba kunakufaa sana,upande wa wapiganaji tunakuona kama kenge kwenye msafara wa mamba!
Labda majina yalikwisha katika kamusi yake akawa hana option zaidi ya kujiita Mbwa.
 
Back
Top Bottom