Nimerogwa kwa hawa wanawake beki zangu hazikabi kwao

bid2015

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
306
59
Jamani kwanini wanawake wembamba wanautesa moyo wangu? Yaan kila mwanamke mwembamba mm kwake hoi loh hivi hili ni tatizo nisaidieni jamani mwenzenu!!!!
 
kweli tunatofautiana mimi akiwa ana kalio hoi sijali kanizidi umri au ana umri kama wa mwanangu ninachojua ni kupiga mashine tu
 
Jamani kwanini wanawake wembamba wanautesa moyo wangu? Yaan kila mwanamke mwembamba mm kwake hoi loh hivi hili ni tatizo nisaidieni jamani mwenzenu!!!!

.., tafuta ambaye ni mwembamba sana, ukaoa, awe mke wako, tatizo lako litaisha mara moja.
 
Jamani kwanini wanawake wembamba wanautesa moyo wangu? Yaan kila mwanamke mwembamba mm kwake hoi loh hivi hili ni tatizo nisaidieni jamani mwenzenu!!!!

Labda ulipendelea wa aina gani ndo wautese moyo wako? Chagua mmoja, mkapime ule maisha! Si lazima upende mwenzako anachokipenda, mapenzi hayana formula.
 
Back
Top Bottom