Nimeridhika kabisa: Mbwana Samatta hakuwa msaada kwa Aston Villa, Watkins ameonesha utofauti mkubwa

Wewe ni wa tofauti! Mwenzako salary inasoma kila wiki. Wewe kila wiki uko mahakamani kuvizia watuhumiwa wa uhujumu uchumi ili upate chochote.

Unazingua Wakili msomi. Tusimkatishe tamaa mtu ambaye ni mpambanaji kuliko sisi. Ni Mtanzania wa kwanza kati ya Watanzania karibia milioni 60 kucheza EPL, kucheza GENK, Ligi ya Mabingwa Ulaya, Europa Ligi! Nk.

Halafu unasema Samatta ni wa kawaida sana!! Sikubaliani na wewe.
Yaani umeona amezungumzia kipato Cha samatta au kiwango!!! Tujifunzeeeee kujadili kilicholetwa sio kuweka visivyohusika. Hata ukiwa msomaji inatosha sio kumshambulia mtu kwa kuusema ukwel, wewe kipato chako ni sawa na chake?
 
Walivyocheza villa leo au msimu huu ndo walivocheza msimu uliopita!?
Si ndio anakuambia kwamba Villa wamecheza hivi kwa kuwa kwenye kikosi alikuwapo Watkins, hawakucheza hivi msimu uliopita kwa kuwa hawakuwa na Watkins ila Samata
 
Early days though. Ngoja tuone hii kasi ya Watkins kama itaendelea au ni nguvu ya soda.

BTW Samatta nae kaanza kutupia vitu kambani kule alipokwenda
 
Yaani umeona amezungumzia kipato Cha samatta au kiwango!!! Tujifunzeeeee kujadili kilicholetwa sio kuweka visivyohusika. Hata ukiwa msomaji inatosha sio kumshambulia mtu kwa kuusema ukwel, wewe kipato chako ni sawa na chake?

Mbona kama umepaniki? Na wewe ni Wakili Msomi? Hata kwenye hicho kiwango, bado huwezi kumuongelea Mbwana Samatta kama mchezaji wa kawaida!

Labda umlinganishe na Messi au Ronaldo! Ukija kwenye mafanikio ya hicho kiwango, Samatta siyo mchezaji wa kawaida! Rekodi yake inambeba. Na nimeielezea hapo juu! Au hata macho nayo tu huna?

Kumponda Samatta anayelipwa mamilioni ya fedha kwa wiki iwe kwa hicho mnachokiita kiwango chake cha kawaida, na huku wewe ukikimbizana na Magufuli bado litabakia kuwa jambo la kushangaza sana.

Kama mnamuona ana kiwango cha kawaida, si muende nyinyi sasa mkachukue nafasi yake kama ni jambo rahisi! Watanzania majungu yatakuja yatuue siku moja.
 
Hiyo match ndio aina zile za match amabazo mawahales wa kubet wanakuwa wamezinunua
 
Watanzania bana tunaupuuzi mwingi kwahiyo Samatta asisemwe kuwa kiwango chake hakikufit Epl kwasababu tu msemaji anazidiwa kipato?? Wewe kipato chako Kiko sawa na chake?? Upuuzi muache jadili mada husikaa .

Wewe hapo ulipo una kiwango cha kitu gani hasa cha kujiona ni bora kuliko Samatta? Tuache majungu. Samatta ni mmoja wa mashujaa wa karne hii ya 21 katika Nchi yetu kwenye eneo la michezo kama ilivyo kwa akina Filbeth Bayi, na wengineo wengi.

Hivyo mtakavyo amua kumshusha kwa makusudi na kwa vigezo vyenu visivyo eleweka, tutampandisha anapostahili. Mpende msipende.

Samatta siye mchezaji wa kwanza dunia kusajiliwa na timu na mwisho wa siku kushindwa kutimiza matakwa ya hiyo timu. Wapo wengi walioshindwa na huwezi kuwaita ni wachezaji wa kawaida.

Tuwaheshimu na kuwaenzi mashujaa kama Samatta kwa ajili ya vizazi vijavyo badala ya kuwadharau na kuwakatisha tamaa.
 
Sasa kama unajua samata sio mchezaji wa kwanza kusajiliwa nakushindwa kutimiza matakwa wewe shida iko wapi akisemwa kua kiwango chake Epl hakikuridhisha.Au Wewe kwako samata ni Mungu wako hadi asisemwe?.Kila mtu huwa ana maoni yake kuhusu jambo fulani sasa wewe badala yakumjibu mtoa mada kwa hoja umekimbilia hadi mambo yakipato yasiyohusika.Kwani ni viwango vyawachezaji wangapi huwa vinajadiliwa humu ili wewe kwasamata utoe povu hivyo.Punguza mahaba mshindo.

kitu usichokijua ni kwamba aston vila imebadilika sasa hivi tofauti na msimu uliopita, hata angekuwepo samata sasa hivi angefunga
 
Si ndio anakuambia kwamba Villa wamecheza hivi kwa kuwa kwenye kikosi alikuwapo Watkins, hawakucheza hivi msimu uliopita kwa kuwa hawakuwa na Watkins ila Samata
Hapa si kweli,walikua defensive msimu uliopita na walikua kama kuku alochinjwa,wanazunguka tu kabla hats ya samatta
 
Sasa kama unajua samata sio mchezaji wa kwanza kusajiliwa nakushindwa kutimiza matakwa wewe shida iko wapi akisemwa kua kiwango chake Epl hakikuridhisha.Au Wewe kwako samata ni Mungu wako hadi asisemwe?.Kila mtu huwa ana maoni yake kuhusu jambo fulani sasa wewe badala yakumjibu mtoa mada kwa hoja umekimbilia hadi mambo yakipato yasiyohusika.Kwani ni viwango vyawachezaji wangapi huwa vinajadiliwa humu ili wewe kwasamata utoe povu hivyo.Punguza mahaba mshindo.

Acheni kumsimanga mtu ambaye hamkumsaidia chochote mpaka hapo alipofikia. Haihitaji uwe na hayo mahaba yako mshindo.

Tumtie moyo! Awe wa kawaida, awe wa kati au juu! Ukweli utabaki pale pale. Samatta ndiye mchezaji wa Kitanzania kwa karne hii ya 21 mwenye mafanikio zaidi kimpira kuliko wengine.

Hata mumponde kiasi gani, hakuna mtakacho faidika. Maana maisha yenu yatabakia kuwa yale yale. Yuko Uturuki kwa sasa, na maisha yanaendelea. Angekua ni wa kawaida, angekua yuko Namungo muda huu.
 
Kwa kiwango chake, ufungaji wake, kazi yake, umakini wake na mchango wake kwa timu mchezaji mpya wa Aston Villa Ollie Watkins amedhihirisha kuwa mshambuliaji Mbwana Samatta hakuwa msaada wowote kwa timu hiyo.

Watkins ambaye amefunga mabao matatu katika kipigo cha mbwakoko alichokipata Liverpool ambaye ni bingwa mtetezi leo cha mabao 7-2, ni wazi kuwa Samatta alikuwa mzigo kwa Aston Villa.

Ukweli usemwe, Samatta hakuwa na kiwango cha kuwika Premier League na kuwa msaada kwa Aston Villa. Labda awike huko Uturuki alipo. Watkins ni moto!
Huyo wittkins unaemsema alitokea Belgium hakuwa hata anamkaribia mbwana kwa magoli
 
Wewe hapo ulipo una kiwango cha kitu gani hasa cha kujiona ni bora kuliko Samatta? Tuache majungu. Samatta ni mmoja wa mashujaa wa karne hii ya 21 katika Nchi yetu kwenye eneo la michezo kama ilivyo kwa akina Filbeth Bayi, na wengineo wengi.

Hivyo mtakavyo amua kumshusha kwa makusudi na kwa vigezo vyenu visivyo eleweka, tutampandisha anapostahili. Mpende msipende.

Samatta siye mchezaji wa kwanza dunia kusajiliwa na timu na mwisho wa siku kushindwa kutimiza matakwa ya hiyo timu. Wapo wengi walioshindwa na huwezi kuwaita ni wachezaji wa kawaida.

Tuwaheshimu na kuwaenzi mashujaa kama Samatta kwa ajili ya vizazi vijavyo badala ya kuwadharau na kuwakatisha tamaa.
IQ yako inaweza kuwa ndogo. Pole
 
Mbona kama umepaniki? Na wewe ni Wakili Msomi? Hata kwenye hicho kiwango, bado huwezi kumuongelea Mbwana Samatta kama mchezaji wa kawaida!

Labda umlinganishe na Messi au Ronaldo! Ukija kwenye mafanikio ya hicho kiwango, Samatta siyo mchezaji wa kawaida! Rekodi yake inambeba. Na nimeielezea hapo juu! Au hata macho nayo tu huna?

Kumponda Samatta anayelipwa mamilioni ya fedha kwa wiki iwe kwa hicho mnachokiita kiwango chake cha kawaida, na huku wewe ukikimbizana na Magufuli bado litabakia kuwa jambo la kushangaza sana.

Kama mnamuona ana kiwango cha kawaida, si muende nyinyi sasa mkachukue nafasi yake kama ni jambo rahisi! Watanzania majungu yatakuja yatuue siku moja.
Itakuwa huna au uwezo wako wa kuelewa Mambo ni mdogo.pole
 
Back
Top Bottom