kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,636
- 7,005
Nimepeleka kwa mtu ana ofisi yake anisaidie kubadili window kutoka windows 7 kwenda windows 10.
Bahati mbaya nimepoteza asilimia 50 ya document zangu na nyingine ni muhimu sana.
Hata hivyo,sikugundua hadi nilipoifungua nyumbani PC yangu ili nimalizie kutunga kitabu changu.Bahati mbaya nimekuta document zote hazipo kilichobaki ni baadhi ya picha na muziki.
Mimi ni mmoja wa wale BBC "wabishi" nimejifinza computer bila kuhudhuria darasa nikawa nimeelewa vitu vidogo vidogo vya msingi kama word,PowerPoint,excell kidogo.
Ninaomba kufahamu tu iwapo upo uwezekano wa kuzirudisha kwani nataka nimrudie huyo mtalaamu.
Sent using Jamii Forums mobile app