Nimepoteza "Control Number" kwa ajili ya kulipia jengo

Mkyamise

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
454
555
Habari za leo ndugu wanaJF? Ninaomba msaada wa kupata cotrol number ya kulipia jengo. Number hii nilitumiwa na TRA kwa SMS. SMS yenyewe dogo ameifuta alipokuwa akichezea simu yangu. Naomba mwenye njia mbadala ya kuipata anisaidie.
 
Wala sijawahi kuiomba. Nilishangaa tu sms imeingia kwenye simu ikiwa na hizo taarifa. Pia deadline ni mwisho wa mwezi huu.
 
Habari za leo ndugu wanaJF? Ninaomba msaada wa kupata cotrol number ya kulipia jengo. Number hii nilitumiwa na TRA kwa sms. Sms yenyewe dogo ameifuta alipokuwa akichezea simu yangu. Naomba mwenye njia mbadala ya kuipata anisaidie.
Iliko nyumba yako ipo TRA au Afisa mtendaji wa mtaa wako iliko nyumba ana detail, mie niliwahi kupoteza Afisa mtendaji alinipatia kwani fomu toka TRA zipo kwa Afisa mtendaji.
 
Back
Top Bottom