pakuanzia ni polisi kwanza,,,,Bado, Ndio Nataka Nive Taratibu Zinakuwaje, Tunbnzia Wapi Na Kuishia Wapi ?
Ingia website ya polisi Ripoti na kulipia kwa simu print nenda na hiyo karatasi polisi Kisha wakishakusainia nenda nayo chuo ulichosomaBado, Ndio Nataka Nive Taratibu Zinakuwaje, Tunbnzia Wapi Na Kuishia Wapi ?
Kisa umeishia la saba?Achana nacho cha nini wakati we binafsi unajua umesoma?! Ajira hakuna vyeti vyanini?!
Ukienda polisi, watataka ushahidi kama kweli kimepotea, kama ushahidi huna wataitupilia mbali kesi yako.
Vyeti ni mzigo achana navyo tu.
Hahaha hata kama una PhD inakusaidia nini?! Unasubiri uteuliwe?!Kisa umeishia la saba?
Bado, Ndio Nataka Nive Taratibu Zinakuwaje, Tunbnzia Wapi Na Kuishia Wapi ?
Sijui kaulize chuo ulichosomaKwa utaratibu huo nitatengenezewa kingine ,,?
Hahaha hukuwahi kupiga nacho picha mkaruka?! Kasafishe picha mkarukaNi kumbukumbu pia