Nimepoteza card ya ATM NMB msaada

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,141
21,279
Habari wakuu

Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya nmb ,nimepoteza ,na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..

Je, kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya ,inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau?

Msaada nimevurugwaaa hapa
 
Kachukue loss report then enenda nmb utajaza form ya request ya kadi mpya.Ni wiki mbili kadi unapata.
Kuhusu usalama ni salama as long as hujampa mtu password na pia Kama kadi Yako hujai activate kufanya miamala online
 
Kuna malipo gharama kulipia card
 
Habari wakuu

Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya nmb ,nimepoteza ,na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..

Je kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya ,inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau ..

Msaada nimevurugwaaa hapa
Riport police .. uchukue loss report uwahi kutoa taarifa nmb. Usipofanya hivyo chochote cha weza kutokea.
 
Habari wakuu

Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya nmb ,nimepoteza ,na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..

Je kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya ,inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau ..

Msaada nimevurugwaaa hapa
Kabla ya yote ripoti NMB uwaambie waifunge ile kadi iliyopotea ili uwe na amani zaidi, teknolojia umekua huwezi kujua nini kinaweza kutokea kwa yule atakayeiokota hiyo kadi
 
Habari wakuu

Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya nmb ,nimepoteza ,na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..

Je kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya ,inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau ..

Msaada nimevurugwaaa hapa
Nenda polisi kaandikishe loss report then unaenda nayo bank ,watakutengenezea kadi nyingine,muhimu kama unaikumbuka namba ya acccount.
 
Back
Top Bottom