Nimepotelewa na kaka yangu! Naombeni msaada wa kumpata!

ngosha kiyungu

New Member
Dec 10, 2016
4
6
69299632b06c3d9f89bb491fb471b768.jpg
 
ushauri wangu nenda hata pale itv..ukapeleke tangazo nadhani watakusaidia pia huku na sisi raia wema tuliosikia tukimuona tukusaidie..japo kua ujasema unaishi wap,,na kaka yako amepotea wap(mkoa gan) na pia mara ya mwisho alikua amevaaje
 
Ok. Kashapatikaana. Tumempata huko geita polini! Akiwa pekee yake anakula maembe polini!

Mmh mkuu ulikuwa unatuenjoy au!!??
Inamaana shida yake ilikuwa ni kula maembe au..!!??
Ok nafikiri atakuwa ameshiba maembe kama siku zote hizo alikuwa anakula maembe basi nina hakika ametosheka kabisa.

USHAURI: mnunulieni maembe kila siku asije akaondoka tena.
 
Usiseme hivyo kuna mambo ya kimazingara dunia hii, kama hayajakukuta unaweza chukulia msihara, ila natumaini wakimuuliza alifikaje huko polini na kuanza kula maembe yeye mwenyewe hajui.
 
Mmh mkuu ulikuwa unatuenjoy au!!??
Inamaana shida yake ilikuwa ni kula maembe au..!!??
Ok nafikiri atakuwa ameshiba maembe kama siku zote hizo alikuwa anakula maembe basi nina hakika ametosheka kabisa.

USHAURI: mnunulieni maembe kila siku asije akaondoka tena.
Sio busara kujifanya unauwezo wa kufikiri kuliko wengine. In a split of a second, someone's mind could be different.
Jifunze tu kuheshimu matatizo ya wenzako. Kama huwezi, zuia vidole vyako kuandika.
 
Nafikiri ni vyema ukawa na adabu na jinsi mtu alivyo andika,

Yeye alisema wamemkuta porini anakula maembe
Sasa, wat de https://jamii.app/JFUserGuide.!!??
i don't wanna mess with yo nigga
 
Nafikiri ni vyema ukawa na adabu na jinsi mtu alivyo andika,

Yeye alisema wamemkuta porini anakula maembe
Sasa, wat de ****.!!??
i don't wanna mess with yo nigga
Eti nigga. Huu ni utoto uliopitiliza. Haishangazi kwa post ile kumbe matusi ni kawaida.
 
Mmh mkuu ulikuwa unatuenjoy au!!??
Inamaana shida yake ilikuwa ni kula maembe au..!!??
Ok nafikiri atakuwa ameshiba maembe kama siku zote hizo alikuwa anakula maembe basi nina hakika ametosheka kabisa.

USHAURI: mnunulieni maembe kila siku asije akaondoka tena.
Hayajakukuta pambafu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom