mimi kwa uwelewa wangu bi ester alikuwa dalali lakini mzigo ulivyokamilika hakupewa nafasi aliyokuwa anategemeaHuyu bi Esther anaonekana kuna kitu kazulumiwa maana anadai hasaminiki, na kua siku ya uzinduzi wa kiwanda hakupewa room, na pia anataka kujikweza sana anadai yeye ndo kamleta dangote, pia anadai kuna watu wa Kati wanamtibua dangote lkn amegoma kabsa kuwataja
JARIBU KUFICHA CHUKI ZAKO KWA WAKATI FULANI.Kwani hawa clouds wanajua nini?hakuna wanachojua hawa wanaweza kuandaa matamasha ya fiesta tu ndicho wanachofahamu
Kwani hawa clouds wanajua nini?hakuna wanachojua hawa wanaweza kuandaa matamasha ya fiesta tu ndicho wanachofahamu