Nimepita Powerbreakfast ya Radio Clouds mgogoro wa Dangote

Walio sahihi ni kina nani kama profesa alikubali kwenda, mkulu anapiga hadi simu, hao watendaji ndio kabisaaaa!
Cha kujifunza hapa ni kwamba wanaokwenda kuhojiwa ndio watu sahihi na maelezo wanayotoa ndio 'usahihi' wa maono yao unapoishia ambayo kimsingi yanawakilisha Watz tulio wengi! Inatakiwa miujiza kututoa ndani ya box mkuu.

Bado tu nadhani hawa wote (Eather na Machumu) hawakuwa the right people kuzungumzia sakata la kiwanda hiki cha ama kimefungwa ama vipi ama nini kilicho nyuma ya hii saga nzima!!

Ni kwa sbb, hawa wote hawana connection ya moja kwa moja na aidha menejimenti ya kiwanda au serikali kupitia wizara ya viwanda na uwekezaji ama ile ya nishati na madini ambao ndiyo waweza kulisemea hili!!

Just see these;

Huyu mama anasema yeye alikuwa ni kama tu "facilitator? Consultant?" wa uanzishwaji wa kiwanda hiki. Na mpaka hapo analia kuwa kiwanda hakijamlipa haki yake ...fedha zake fulani!!

Sasa huyu awezaje kuwa msemaji wa either sides i.e Kiwanda ama Serikali wakati kumbe naye amejitokeza ingalau asikike ktk media kwa minajili ya kupeleka kilio chake tu cha kutokulipwa??

Ndiyo maana hana msimamo wa aidha ilaumiwe serikali ama kiwanda na badala yake yeye anawatupia zigo la lawana wale anaowaita "vishoka" au "middlemen" wakati na yeye kwa maelezo yake na kiuhalisia yuko ktk kundi hilihili!!

Yupo huyu Machumu. Huyu yeye anadai walikuwa na mkataba na kiwanda kwa ajili ya kuwasombea makaa ya mawe tu toka kule machimboni.

Sasa huyu anaweza kuwa msemaji wa upande wowote kweli kwa maana ya serikali ama menejimenti ya kiwanda?

Mimi nasema, WOTE HAWA HAWAWEZI na hawakuwa the right people wa kuzungumzia sakata hili!!

Tuchukulie tu kila walichokisema hawa i.e Esther na Machumu kuwa ni maoni yao binafsi tu kama ambavyo mimi na wewe
hapa tunatoa maoni yetu hapa kwa maandishi haya kupitia JF!!
 
Kilichoniacha hoi ni Esther kusema eti hayakufanyika matambiko wakati wa kukifungua kama ilivyofanyika wakati wa kuweka jiwe la msingi na ndio maana mambo 'hayaendi' sawa! Yaani eti tunaelekea uchumi wa viwanda lakini waliopewa majukumu ya 'facilitation' wanajumuisha na matambiko kama strategy mojawapo! Angalia tupo nyuma kiasi gani. Sijui Wasweden wa Twiga nao wanatambika!?
 
Gsm yupo nyuma muda utaongea? Na kuwa mwakilishi mkazi anafaidika na nini?
 
Clouds fm Masasi. Hatimaye bei ya saruji Masasi imependa kutoka tsh 11000 hadi 17000. Hapa mfumuko wa bei tuu!
 
Hongera Alhaji Dangote kwa kutupa ajira. Ila nna wasiwasi hao vijana wa Lindi na Mtwara watabaki kulia lia tu. Labda uwajengee shule kwanza.
 
Back
Top Bottom