Nimepigwa Tsh 200,000 baada ya kununua vitu vya wanandoa waliokuwa kwenye mgogoro

Kwakuwa uliijua familia ya huyo jamaa na ukaamua kushiriki moja kwa moja kumtorosha huyo mke, itabidi wewe uzibe pengo aliloacha huyo mke huku ukiwa tayari kupata hasara ya hiyo laki mbili yako
ivi unaelewa kwamba mimi sikushiriki moja kwa moja mana ye alisema nimtafutie mtu wa kununua vitu kosa ni mmi kununua..
 
Asante Kwa kumpa mke wangu Hela ya mtaji. Na Mimi nime KATAMO
 
Attachments

  • matiyabo_drc_1639847459322780.mp4
    1,019.6 KB
unauza shamba upige kesi ya jogoo haya bhana
Sio shamba, nitauza hata nchi kwa kesi ya pipi. Kwanini? Sababu ya principles, na hapa ndipo wazungu wanatushinda, mfano Ukraine anavyopigana na Russia, hata akishindwa, kuna principle anaitetea, kwamba Ukraine ni Sovereign nation, hata siku nyingine, atakaetaka kuivamia atatafakari mara mbilimbili, hata kama ana nguvu kiasi gani.
 
nakubalii
 
Ushauri wangu kwako
1. Jiepushe sana kuwa sehemu ya migogoro ya watu hasa wanandoa. Ni rahisi sana kugeuziwa kibao.
2. Kwepa sana kununua nunua vitu ovyo ovyo mitaani utakuja kufungwa.
3. Ukishagundua umepigwa, tulia.
 
sawaa
 
moods wanabadili kichwa cha mada mara ya tatu sasa khaa!inasikitishaa
 
Hapa ushauri ni wa kassie,piga traaaako zako 4,upunguze machungu ila kwa trend ya mumewe anaonekana mtata sanaa mpaka hapo alipokuwa anasema mkeww malaya alikuwa anakushuku ww unamkula kwahiyo anasubiri ujae 18 zake akupelekee moto!
 
Unajipanga kwenda kupiga tako nne kwa ushauri wa Jf unakamatwa unageuziwa kibao unapigwa tako laki nane.

Nyang'anyang'a, ndogo inakua kubwa, mfereji manu,
 
Back
Top Bottom