Nimepigwa na Askari na kuumizwa, nipo Hospitali

Wewe hujapigwa wewe..... Au huyo polisi alikuwa wa kike? Polisi wanapiga asikwambie mtu...wewe umepapaswa tu umevimba una mwili mbaya. Polisi wanakupiga mpaka unachakaa kabisa.... Yaani unapata kipigo mwingine naye akija anakupiga, na mwingine naye anasema "nipeni nami nafasi nimwonje" anakushushia kipigo.... Yaani unachakazwa hasa... Wewe happ bado hendisamu unalalamika? Gangamaa bwana hapo ulitakiwa umshukuru kakupiga kishkaji ungempa hata 50,000 kama shukrani maana kama angekudaka mwingine angekuchakaza sana.

View attachment 1076020

Mimi ni mwananchi, mfanyabiashara naishi Mbagala jijini DSM katika Wilaya ya Temeke.

Leo tarehe 19/04/2019 majira ya saa nne asubuhi ndani ya kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala nimeshambuliwa bila hatia yoyote na askari Polisi anayefahamika kwa jina la Friday Mgina akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na amenishambulia mbele ya askari wenzake na amepora gari langu aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T615 DBX na kuondoka nalo na mpaka sasa sijui hilo gari lipo wapi.

Kwa sasa nipo hospitali ya serikali Mbagala Zakhiem kwa ajili ya matibabu ila hali yangu ni mbaya kwani nikikohoa natoa damu na nikipiga chafya natoa damu.

Nawaomba viongozi wangu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wapate taarifa ili hata nikifa ifahamike chanzo cha kufa kwangu ni kipigo nilichopewa na askari huyu.

Pia naomba sana taarifa hizi zimfikie Rais wangu mpendwa aone jinsi mwananchi wake nisiye na hatia nilivyoteswa na kuumizwa na Askari Polisi.
 
du pole sana mkuu.inaonekana wamekupiga sana upande wa jicho hilo la kushoti
 
Pole sana mzee...ila jaribu kuonana na mkuu wa kituo wa hapo ukishindwaa nenda kituo kikubwa chang'ombe ukaonane na mkuu wa kituo muelezee kilichotokea nina imani utapata haki yako na hatua zitachukuliwa kwa muhusika
 
Pole tena. Sometime ukitoa habari kamili inapendeza. Pole kuchukua hatua
Unakosea kusema hivyo ukiwa kama raia mwema,polisi nilienda kusikiliza wito baada ya daladala yangu kuchukuliwa na huyo askari pia ikumbukwe kuwa polisi ni sehemu ambayo hata mhalifu anaweza kukimbilia ili kunusuru maisha yake
 
Back
Top Bottom