Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,175
- 22,576
Hapa ndio lilikokuwa lengo lakomara nyingi tu tena show zote za maana
utawapata tu mkuu
Hapa ndio lilikokuwa lengo lakomara nyingi tu tena show zote za maana
Labda anataka kukupeleka kwa mpalangehana jipya mi kila siku ananiambia hvyo ila hakuna anachofanya..ni chombeza tu anakupa
Umestuka eeeh.Ushapiga sana afu bado huna uzoefu nae aisee hii chai na mchana wote huu mkuu hapana
kweli kabisa kuna mdau aliniambia hivyohivyoAnaweka na vitunguu swaum (sijui nimepatia).