Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

Mtoto wa mwenzio ni wako - hiyo ndio faraja yako.
Naenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,

Naumia sana tena inauma
Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu

iko hv, nlikua kwenye mahusianono na binti alivyobeba ujauzito akafukuzwa kwao nilitumia gharama nyingi ili isjulikane nikapoteza kazi nilionayo, tukayajenga nilee mimba nikaendelea kulea mpaka alivyo jifungua mtoto wa kike, nikampa jina mtoto kwa jina la mama yangu mzazi (MINZA) kwakua ndio mtoto wangu wa kwanza,

Juzi nmeshinda bila kula nilivyogundua minza sio mtoto wangu

Ukatili niliofanyiwa Alikua akienda kilinic kadi ya kilinic kaandika jina jingine na baba mwingine, akitoka huko ana kadi nyingine sijui kaitoa wapi, anakopi yaliyoandikwa huko anajaza kwenye kadi ile yenye jina nililompa mtoto, kawaida yake kila akitoka huko clnc ananiletea kadi naiona,

kilichotokea, nimepanga nyumba moja na nesi mmoja akaniuliza mtoto wako ESTA anaendeleaje? nkamwambia haitwi esta bali anaitwa MINZA akaniuliza mbona kwenye kadi mmeandka ESTA BALELE ambalo jina la balele sio lakwangu aisee tulibshana, akaniambia siku wakija klnc atazizuia kadi ili anitoe ubishi nikamhakikishia haiwezi kua hivyo sababu kadi naijua ina jina langu

Juzi nimeiona kadi ina jina jingne la mtoto baba babu,, ikabidi nimpigie simu tukutane ilipofka jioni akaja, nlimuuliza neno moja tu, niambie MINZA ni mtoto wangu au sio wangu sema ukwel najua kila kitu na balele ni nani, binti akaanza kulia akasema sio mtoto wangu ni mtoto wa balele, nilipwatwa hasira nilimpiga

niliona haisaidii nitamuumza na mpaka sasa sina cha kufanya ghalama nilizowekeza ni nyingi mno naumia mwenye mtoto alikua hahudumii nifanyeje jamani mtoto alikua anakesha usiku analia nahangaika,

Naitaji faraja.

Yuda exalioth
natumia jamiiforums
karibuni Geita.
 
Usijali inaitwa tenda wema nenda zako, hapo ulipoishia panatosha, sasa mwachie Balele aendelee.
 
Inuka jipige makalioni ili kutoa vumbi kisha sema hili haliwezi kunisumbua maana bado nina nafasi ya kusonga mbele Mungu pekee ndie anajua kwa nini yametokea haya, achana na hilo kuanza upya si ujinga japo inauma lkn haina namna zaidi ya kuanza maisha mengine, fanya kama umetoa sadaka na thawabu zitakuja baadae!
 
Back
Top Bottom