Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

Kitendo cha kuwa na kadi mbili ni cha kishetani kwa maana huyo mtoto anahudumiwa na watu wawili
Kiufupi suala lako haliitaji mjadala mkubwa mkeo ana tamaa angekuwa anakupenda asingeweza kuwapa mimba watu wote wawili amekufanyia hujuma kubwa mno
 
Kwakweli mkuu ni jambo la aibu kumurudisha kama wengine wanavyoshaul
 
Kuna dada mmoja,ana mtoto wa miaka mitatu sasa, huyu Dada ana Kadi za clinic tano na huyu mtoto analelewa na Baba wote watano. Kila mmoja Kwa nafasi yake anatoa matumizi,

Mmoja kashaanza kusituka maana dada huyu huwa anatabia ya kubalance Nani akampige Chuma.

Dada hajaolewa mpaka sasa. Kilichobaki wote hao watano wanatunza tu.
 
Kwa hiyo huyo mwanamke huishi nae? Na ulisema alifukuzwa na wazazi ukaamua kuishi nae, kama unaishi nae je, huyo Nesi alikuwa hamuoni mama mtoto wala kumuita jina Mama fulani mbele yako?

Au Mama mtoto karudi kwao? Au karudi kwa Balele mpaka wewe unapanga peke yako karibu na Nesi?

Hebu balance story
Baada ya kufukuzwa sikumuleta moja kwa moja nilipopanga, nikamchukulia chumba kingne jirani nikanunua mahitaji yote huduma zote yaani mipango yangu tuishi kama wachumba na badae akijifungua nipeleke barua na kutoa mahali na kua mke lasmi

Nesi yeye tulikua tumepanga nyumba moja
 
Pole kijana, next time utakuwa muangalifu zaidi, nyanyuka futa vumbi ondoka na somo ila usiyachukie mapenzi kwa ufala wa boya mmoja still there many beautiful out there.....jipe muda yataisha.
 
Chakufanya ni kukubaliana na matokeo tu na keep going
Naenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,

Naumia sana tena inauma

Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu

iko hivi, nilikuwa kwenye mahusiano na binti alivyobeba ujauzito akafukuzwa kwao, nilitumia gharama nyingi ili isijulikane nikapoteza kazi nilionayo, tukayajenga nilee mimba nikaendelea kulea mpaka alivyojifungua mtoto wa kike, nikampa jina mtoto kwa jina la mama yangu mzazi (MINZA) kwakuwa ndio mtoto wangu wa kwanza,

Juzi nmeshinda bila kula nilivyogundua minza sio mtoto wangu

Ukatili niliofanyiwa alikuwa akienda kliniki kadi kaandika jina jingine na baba mwingine, akitoka huko ana kadi nyingine sijui kaitoa wapi, anakopi yaliyoandikwa huko anajaza kwenye kadi ile yenye jina nililompa mtoto, kawaida yake kila akitoka huko ananiletea kadi naiona.

Kilichotokea, nimepanga nyumba moja na nesi mmoja akaniuliza mtoto wako ESTA anaendeleaje? nikamwambia haitwi Esta bali anaitwa MINZA akaniuliza mbona kwenye kadi mmeandka ESTA BALELE ambalo jina la Balele siyo la kwangu aisee tulibshana, akaniambia siku wakija kliniki atazizuia kadi ili anitoe ubishi nikamhakikishia haiwezi kuwa hivyo sababu kadi naijua ina jina langu

Juzi nimeiona kadi ina jina jingne la mtoto baba babu,, ikabidi nimpigie simu tukutane ilipofika jioni akaja, nilimuuliza neno moja tu, niambie MINZA ni mtoto wangu au sio wangu sema ukweli najua kila kitu na Balele ni nani, binti akaanza kulia akasema sio mtoto wangu ni mtoto wa Balele, nilipwatwa hasira nilimpiga

Niliona haisaidii nitamuumiza na mpaka sasa sina cha kufanya gharama nilizowekeza ni nyingi mno naumia mwenye mtoto alikuwa ahudumii.

Nifanyeje jamani mtoto alikuwa anakesha usiku analia nahangaika,

Nahitaji faraja.

Yuda exalioth
natumia jamiiforums
karibuni Geita.
 
Pole yote ni wewe tu
Kaka kafungwa kwa simu ya wizi
Adimini walikumba BAN
salamu zao Geita
ngoja nikifuatilie Mada zako
 
Ilishwahi letwa humu humu JF hii Stori hiihiii
 
Duuh pole sana.
Kwanza elewa kuwa maisha duniani ni kuumizana tu.
Tafuta amani tu huyo kahaba achana naye ni wengi tunahudumia watoto wasio wetu wao wanachoangalia ni uwezekano wa posho tu na mengine.

Nikupongeze kwa kuacha kumpiga maana angetusababishia balaa jingine.

Songa mbele huyo ana laana tu haoleki kakufanyia kufuru panga yako piga pesa akuone kivingine yaani mtese kwa kutafuta pesa uwe kivingine basi yatosha.

Hata Mungu katuambia tuishi nao kwa akili huenda wao hawana kabisa hizo akili.
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom