exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,189
- 3,684
- Thread starter
- #281
Nimeelewa mkuu ila nina wivu mno kwanza tu kusikia mtoto sio wangu akati nilikua najua nmimi nimetundika aiseeekomaa mtoto mpaka hapo ni wako hata kama ukweli ushaujua lakini komaa mtoto ni wako,huyo mwanaume alikua wapi kipindi chote kwanini kama alijua ni wake hakumpelekea alee mwenyewe mimba au kwanini hakutokea mapema akachukua mzigo wake mapema mimba ilivogundulika kabla hujaharibu gharama zako? asikuzingue haijalishi damu sio yako lakini komaa na huyo mtoto mpaka awe wako
Asante kwa ushauri wako pia naheshimu mawazo yako