Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

Pole Baba Minza Hapo Umepigwa Umechakaa
Gharama Ni Nyingi Tu! Huyo Mwache Aende Kwa Balele

Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana
Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka 5
Asante broo
 
Jamaa alishindwa fatilia hata cheti cha kuzaliwa.? Hii ni chai
kuna cheti cha kuzaliwa ambacho dio inatumika kama kadi ya kilinic so huyu binti alikua na vyeti viwili kimaoja kinajina la ESTA BALELE ambayo ilikua inatumiwa kuendea kilinic, akishatoka kilinic kuna kadi nyingine aliyoinunua kwa mambo yake ina jina la MINZA E. YUDA, ambayo akitoka kilinic anakopi yaliyoandikwa na nesi na kuhamiahia kwenye hiyo kadi
 
Mliyajengeje huyo msela gharama alirudisha au
Hapana wala sikutaka kudai chchte yy alinieleza mkasa mzima ulivyokuwa wakat anatoka nae alikuwa fresh financially na wakat huo hata mm nlikuwa napiga japo nilipiga mara moja tu maana nlikuwa sikai huko nlienda likizo ya mwisho wa mwaka sasa mpaka anapata mimba na kuja kujifungua jamaa aliyumba sanaaa kiuchumi ndo sababu ya demu kuhamisha mzigo kwangu. Ila binafsi piabnilifanya uzembe kwa kutochunguza sanaaa hilo swala nilikubali tu direct maana sikuona ni issue kubwa ukizingatia nlikuwa na uwezo wa kulea mtoto
 
komaa mtoto mpaka hapo ni wako hata kama ukweli ushaujua lakini komaa mtoto ni wako,huyo mwanaume alikua wapi kipindi chote kwanini kama alijua ni wake hakumpelekea alee mwenyewe mimba au kwanini hakutokea mapema akachukua mzigo wake mapema mimba ilivogundulika kabla hujaharibu gharama zako? asikuzingue haijalishi damu sio yako lakini komaa na huyo mtoto mpaka awe wako
 
Akomae ili kitokee nini acha kumpotosha mwamba
 
Hapo ulimwacha aliyekuwa anakupenda kwa dhati na kumpa sifa zote msichana mwenye ujauzito wako haa haa haa pole, wewe achana naye isije siku mkaanza kugombana mkakadondokea katoto ka Balele
 
Pole sana, potezea tu. Kuna watu wanalea watoto sio wao kwa miaka zaidi ya kumi, sembuse huo mmoja . Potezea fanya mambo mengine.
 
Pole sana mkuu. Kwenye maisha kuna mapito mengi sana. Hilo linaweza kuwa nidogo kwa yajayo. Kikubwa ni kumsamehe aendelee na maisha yake na we uendelee na yako. Next time utakua makini. Mungu akusaidie
 
Namshukuru mungu maisha yanaendelea pia nakushukuru mkuu kwa ushauri wako Asante sana,
 
Hapo ulimwacha aliyekuwa anakupenda kwa dhati na kumpa sifa zote msichana mwenye ujauzito wako haa haa haa pole, wewe achana naye isije siku mkaanza kugombana mkakadondokea katoto ka Balele
Unanichekesha kunitoa mawazo pia unatoa ushauri nashukuru sana kwa maoni yako asante
 
Back
Top Bottom