Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

Mimi ilinitokea tulikua tunahudumia wanaume watatu ila mwanamke alikua bado anaishi kwao lakini mtoto alipokufa ndo nikajua ivo mana siku ya msiba kuna mama alisafiri akaja kwny msiba akasema mwanae ameshindwa kuudhuria msiba wa mwanae sababu kaenda masomoni, wafikwa wa msiba pale kwa mwanamke walistaajabu inakuwaje uyu mama anaongea hivi mbona mwenye mtoto yupo eneo la tukio na kashiriki hatua zote.Naomba niishie hapa..............
Inahitaji moyo hawa viumbe sio wa kuamini hata sekunde, watakwambia una mtoto kumbe unahudumia mtoto wa msela mwingine Qmmke, ndo maana mtoto wa nje huwa ata niambiwe anaumwa anataka kufa huwa sishituki
 
Ndugu, wewe unaumia mwaka mmoja tu? Mimi nilihudumia hadi akafika form six ndio nikajua. Hata leo akiniomba hela huwa ninamtumia.
Je baba wa mtoto inamaana mliyajenga mmh mama ndiye alikwambia mtoto sio wakwako miaka yote hiyo
 
Khaa hatari sana..
Kawaida sana katika maisha, siumii wala sijutii, na mtoto ananipenda na kunijali zaidi mimi kuliko baba yake mzazi.
Je baba wa mtoto inamaana mliyajenga mmh mama ndiye alikwambia mtoto sio wakwako miaka yote hiyo
Baba wa mtoto sijawahi kuongea nae hata siku moja, na wala sina cha kuongea nae. Wanawasiliana na mtoto tu.
 
Kawaida sana katika maisha, siumii wala sijutii, na mtoto ananipenda na kunijali zaidi mimi kuliko baba yake mzazi.

Baba wa mtoto sijawahi kuongea nae hata siku moja, na wala sina cha kuongea nae. Wanawasiliana na mtoto tu.
Binti kama anakuheshim hakuna tatzo brooo
 
Back
Top Bottom