tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,750
- 757
Upande mmoja wa wanyonge unaonekana unafurahia mapigo ya kustukiza anayoendeleza Mh.Magufuli.
Upande wa pili wa wanyonyaji unaonekana unahaha juu ya udhaifu na uozo katika ofisi zao.
Wengine wanadhani kwamba hii ni disco toto, kwamba siku sio nyingi labda atalegeza msimamowake alafu utaratibu wao uendele kama ulivyokuwa.
Jana nimepigwa faini ya 30000 ya kioo cha mbele cha gari kilikuwa na ufa, na nikalipa bila kinyongo na nikapita dukani fasta kubadilisha.
Watanzania tumsaidie jamaa,wote tukatae rushwa kuanzia juu mpaka chini maendeleo yatapatikana mazee.kilamtu aridhike na kipato chake.
Wale mafisadi wanaolalamika waambieni wasianze kulia ugomvi bado haujaanza.