nimepigia kura vidole viwili

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
bibi kizee baada ya kupiga kura igunga alikua anahojiana na mtangazaji mmoja.
mtangazaji akamuulia;hali ya uchaguzi unaionaje?
bibi akajibu;nimewapigia vidole vili.akimanisha chadema.
hahaahahaaa....!!mia
 
Kama na vibibi kizee vimepiga vidole viwili, hiyo ni dalili ya ukombozi wa kifikra.
 
Inaonyesha sasa hata wasio waelewa wa mambo ambao ccm walikua wakiwakumbatia sasa wanawageuzia mgongo heko bibi unataka mabadiliko
 
Inaonyesha sasa hata wasio waelewa wa mambo ambao ccm walikua wakiwakumbatia sasa wanawageuzia mgongo heko bibi unataka mabadiliko
nilifika mwanza mjini nikakutana na bibi mmoja akawa ananielekeza jinsi alivyomchagua wenje:alisema hivi
""hano ulamahe ibyala vibhele,ulatolaa hoo""
yaani utakapoona sehemu kuna vidole viwili,unaweka alama hapo
na ndivyo walivyofanya mpaka wenje akashinda
 
CDM bado iko juu sana hadi kufika 2015 watu wote wataamka, hadi wabibi wameshajua mchawi wetu ni nani.
 
tatizo sio chama suala ni kuangalia kiongozi makini mwenye kuona mbali bila kujali itikadi za kichama bb inaonyesha kashinikizwa
 
Back
Top Bottom