Nimepiga chini mchepuko

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,351
40,224
Nimepiga chini mchepuko. Mchepuko huyu kwa namna moja au nyingine amenisaidia sana kuniweka bize pale palipohitajika.

Nilijaribu kumtimizia mahitaji yake binafsi, familia yake, na hata yeye kula vizuri, pamoja na baadhi ya vitu vingine. Changamoto iliyojitokeza wiki hii mwanzoni, aliniomba nimnunulie aina fulani ya laptop; mi nikamwambia asubiri kama baada ya wiki mbili nitamnunulia.

Tatizo sasa linakuja, anakuwa anakumbushia kila siku. Mbaya zaidi kilichonikera usiku wa leo anasema hawezi nipa gemu mpaka nimtimizie hilo ombi lake.

Kwa kweli limenikera sana. Hapo hapo nikaamua kupiga chini na kumwambia aendelee na safari yake ya maisha.

Je, wakuu, nimefanya sahihi ama si sahihi?
 
Pamoja na yote, inaonekana mchepuko anauma "yaani unaumia kuachana na mchepuko" Kuna jamaa aliniambia aliachana na mchepuko wake akaumia kama vile kaachana na mke wa ndoa.
 
Write your reply...unatia aibu sana mwanaume mzma eti naacha michepuko uliskia wapi jogoo akisema kwa nzia Leo naacha mitetea yote nabaki na mmoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom