Nimependezewa sana na hotuba za Rais Yoweri Museven hasa hizi mbili alizozitoa Dar juzi zina mafunzo mengi sana

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
933
1,000
NIMEPENDEZEWA SANA NA HOTUBA ZA RAIS YOWERI MUSEVEN

HASA HIZI MBILI ALIZOZITOA DAR JUZI ZINA MAFUNZO MENGI SANAKama ilivyo hapo juu, kwa kweli Rais Yoweri Kaguta Museven ni Professor kwa kufundisha jamii hasa maswala ya Public Economics Or Welfare Economics na History

Kwa zamani mara moja moja nilibahatika kumsikiliza sana huyu Rais wetu wa East Africa, na ndugu yetu wa karibu kabisa ka history ya maisha yake ilivyo pia hotuba zake zote zilijikita sana KUELIMISHA JAMII, kwa asili ni mwalimu mzuri sana na aneleweka vema sana,

Ninacho kijua ni kwamba yeye ali graduate UDSM in Economics tu sijasikia kama alipata skill za education lakini kwa hakika aidha through experience tayari ni Professional Lecturer

Natamani sana kuzipata speech zake hasa zile zinazohusu jamii general sio za kisiasa special kwa Uganda, naamini naweza kujifunza vingi Zaidi kutoka kwenye hizo speeches zake.

Kwa moyo wa dhati NAMPONGEZA SANA RAIS YOWERI MUSEVEN Kwa hotuba zake nzuri sana na kuelimisha jamii, mwanzo waweza usimwelewe lkn ukimsikiliza kwa makini utagundua anatoa materials mazito sana na ya maana kwa dunia ya leo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom