Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 16,133 33,451 Dec 8, 2018 #1 Dejavu naweza kupata wapi simpo kama hizo kwa hapa bongo? bei inaweza kufika sh ngapi? wa salaam memba mwenzako hapa jf.
Dejavu naweza kupata wapi simpo kama hizo kwa hapa bongo? bei inaweza kufika sh ngapi? wa salaam memba mwenzako hapa jf.
grand millenial JF-Expert Member Jul 29, 2018 3,203 4,111 Dec 8, 2018 #2 Aisee hiyo pich** ingesogea tu ...majanga
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,755 Dec 8, 2018 #3 Ongezea nyama hapo kwenye pichu uzi uwe mnene. Hapo kwenye pichu hakuna nyama.
Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 16,133 33,451 Dec 8, 2018 Thread starter #4 grand millenial said: Aisee hiyo pich** ingesogea tu ...majanga Click to expand... mkuu wewe huzo raba hujaziona?
grand millenial said: Aisee hiyo pich** ingesogea tu ...majanga Click to expand... mkuu wewe huzo raba hujaziona?
Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 16,133 33,451 Dec 8, 2018 Thread starter #5 Viatu vya Samaki said: Ongezea nyama hapo kwenye pichu uzi uwe mnene. Hapo kwenye pichu hakuna nyama. Click to expand... hahahaha mbona nyama ipo imejaa mpaka inataka kutokeza kwa nje!?
Viatu vya Samaki said: Ongezea nyama hapo kwenye pichu uzi uwe mnene. Hapo kwenye pichu hakuna nyama. Click to expand... hahahaha mbona nyama ipo imejaa mpaka inataka kutokeza kwa nje!?
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,755 Dec 8, 2018 #7 Uzi hauna nyama hapo kwenye pichu ndiyo tatizo ila Raba ziko poa na kikuku chake inaonekana kuna mengi. Mr Q said: hahahaha mbona nyama ipo imejaa mpaka inataka kutokeza kwa nje!? Click to expand...
Uzi hauna nyama hapo kwenye pichu ndiyo tatizo ila Raba ziko poa na kikuku chake inaonekana kuna mengi. Mr Q said: hahahaha mbona nyama ipo imejaa mpaka inataka kutokeza kwa nje!? Click to expand...
bright platnumz JF-Expert Member Feb 19, 2017 2,740 3,659 Dec 8, 2018 #8 Fanya kama una izoom afu ui crop ili tuone viatu vizuri
Foxhound JF-Expert Member Dec 15, 2013 28,057 74,465 Dec 9, 2018 #10 Hizo raba ni vizuri wakivaa wenye miguu mikubwa, maana inaonekana zimetanuka hatari
Lexus SUV JF-Expert Member Sep 16, 2016 4,193 5,123 Dec 13, 2018 #11 Mr Q said: Dejavu naweza kupata wapi simpo kama hizo kwa hapa bongo? bei inaweza kufika sh ngapi? wa salaam memba mwenzako hapa jf. View attachment 960716 Click to expand... . Cc. Dejavu
Mr Q said: Dejavu naweza kupata wapi simpo kama hizo kwa hapa bongo? bei inaweza kufika sh ngapi? wa salaam memba mwenzako hapa jf. View attachment 960716 Click to expand... . Cc. Dejavu