Nimependa ubunifu wa Harrod Blank wa Kufunga camera gari zima kila pembe

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Img0058.jpg

1438145654641.jpg

cameravanroof.jpg

HarrodDash.72.jpg

Harrod Blank alizaliwa kijijini Baada ya Kufikisha miaka 17, Blank na familia yake walihamia katika jiji la Santa Cruz, California.
1965 alipata gari Volkswagen akaipaka rangi za kijani, nyekundu, na dhahabu.


Harrod Blank akawa ni mpiga picha na mtengenezaji wa filamu, anasema alitumia muda kama wa mwaka mmoja kukusanya kamera. akazifunga kwenye gari yake moja baada ya nyingine. akafunga screen za TV. yaani ukikutana naye ni burdani.


alijaza gari yake camera zidi ya 2000 na akawa anatembea njia zote akipiga picha. Mi nimependa gari lake alotengeneza. kweli watu wabunifu. gari yake aliigeuza studio.
The Camera Van Art Car by Harrod Blank
Nimepata video yake.

 
Last edited by a moderator:
Thx Kwa Ku Share .Nimeion H Kit Kwny Tv Ikiwa Inaishia,asant Xana
 
Back
Top Bottom