johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,898
- 141,829
- Thread starter
- #61
Hahahaa....... Peoples!!!!!!!!!!!!!.............power!tunaita mashudu
CCM hoyeee........!!!!!!
Haki!!!........sawa!!!!!
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa....... Peoples!!!!!!!!!!!!!.............power!tunaita mashudu
Hospital ya mkoa Ruvuma.Hospitali gani?
Ok hapo karibu na box 1, mamlaka zitafuatilia na utapewa mrejesho!Hospital ya mkoa Ruvuma.
Wewe pangu pakavu tia mchuzi endelea kulialia wenzio wanasonga mbele!
Mwanzoni aliagiza kodi ya majengo iwe 10,000 lakini TRA kwa ujuaji wakaweka wathamini ambao wakifika kwako wanakadiria kila banda 10,000 na unaweza kujikuta unalipa hadi 40,000 kwa plot moja. Leo mkuu wa nchi amedisitiza tena ni 10,000 kwa plot bila kujali mabanda yaliyomo.
Na hii ya wajasiriamali ndio mkombozi, pale Tegeta Nyuki sokoni wale wa wanaouza vitu vidogo vidogo wanatozwa ushuru wa sh 1300 kwa siku sawa na sh 39000 kwa mwezi au 468,000 kwa mwaka. Na hii fedha sidhani kama inafika kwa mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni nadhani inaishia kwa wale matumbo tumbo watatu wanaotoza ushuru. Lakini leo ukombozi umewafikia wajasiriamali hawa ambao wengi ni wachagga na sasa watalipa sh 20,000 tu kwa mwaka mzima.
Maendeleo hayana vyama....... CCM hoyeee!
Hahahaa....... Siasa ni sayansi siyo mazingaombwe!Kuna watu watakosa la kusema,sasa hivi kura zote za wafanyabiashara wadogo wadogo zinaenda kwa John.
Wakina Zitto kwisha habari yao.
Ngedere wewe,unasema maendeleo hayana chama huku unasema CCM hoye?Mwanzoni aliagiza kodi ya majengo iwe 10,000 lakini TRA kwa ujuaji wakaweka wathamini ambao wakifika kwako wanakadiria kila banda 10,000 na unaweza kujikuta unalipa hadi 40,000 kwa plot moja. Leo mkuu wa nchi amedisitiza tena ni 10,000 kwa plot bila kujali mabanda yaliyomo.
Na hii ya wajasiriamali ndio mkombozi, pale Tegeta Nyuki sokoni wale wa wanaouza vitu vidogo vidogo wanatozwa ushuru wa sh 1300 kwa siku sawa na sh 39000 kwa mwezi au 468,000 kwa mwaka. Na hii fedha sidhani kama inafika kwa mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni nadhani inaishia kwa wale matumbo tumbo watatu wanaotoza ushuru. Lakini leo ukombozi umewafikia wajasiriamali hawa ambao wengi ni wachagga na sasa watalipa sh 20,000 tu kwa mwaka mzima.
Maendeleo hayana vyama....... CCM hoyeee!
Kununulia wapinzaniHata hizo kodi bado kubwa sana Kwa Kazi gani
CCM ni chama Dola usisahau hilo!Ngedere wewe,unasema maendeleo hayana chama huku unasema CCM hoye?
Wale wachagga mlowanyima hata kujijengea barabara sibkwasababu wamechagua upinzani?
Wale wa kimara walionyimwa fidia si wachagga?
Hahahaa...... Kwa mfano Mwita Waitara kanunuliwa kwa bei gani?!Kununulia wapinzani
hata hizo kodi za majengo hazipangwi na TRA ni msukuma mwenyewe!wanyongwe wametwikwa mzigo wa 25% ya mafao alafu kenge zinakata mauno zinashangilia.
Watoto waliosoma ndio wako TRA!ni wapumbavu pekee watamuunga mkono, jamani somesheni watoto tuondokane na kudanywa na vitu viduchu ilhali wakubwa wanafaidi nchi
Ndio maana zinatoa nafuu!hata hizo kodi za majengo hazipangwi na TRA ni msukuma mwenyewe!
Mkuu umenena vema sana!Hivi ni kwa nini humu jf hasa hili jukwaa kuna watu siku itokeapo mada iendayo tofauti na matarajio yao kisiasa, kijamii na yenye mafanikio chanya kwa serikali lazima siku hiyo michango yao iambatane na kashfa, matusi na maneno ya kuudhi?.
Wajasiriamali wadogo ni wafanyabiashara wakubwa wa kesho. Kufundishwa kulipa kodi kwa ajili kujazia miradi ya maendeleo ni vzr na ni muhimu sana.
Tsh 20,000/= ni sawa na tsh 1667 @ mwezi nayo ni kodi kandamizi?. Nimefurahi inaenda serikali kuu ambako kwa sasa naamini matumizi yake si ya kutilia shaka yaani kufujwa.
Nafikiri ni wakati muafaka kwa wapenda maendeleo wa nchi hii kumpongeza mh. Rais kwa ubunifu huu ambao kila mkoa utaingiza zaidi tsh 500ml si fedha kidogo kwa nchi nzima.
Lkn iwe fundisho kwa wasaidizi wa Rais ambao wameshindwa kutekeleza maagizo haya kwa karibu miaka 2 sasa toka tuanze kuyasikia hadi mkuu mwenyewe kaamua kutenda. "Mnafanya nini ktk ofisi zetu?".
Ni sawa....lakini!Mwanzoni aliagiza kodi ya majengo iwe 10,000 lakini TRA kwa ujuaji wakaweka wathamini ambao wakifika kwako wanakadiria kila banda 10,000 na unaweza kujikuta unalipa hadi 40,000 kwa plot moja. Leo mkuu wa nchi amedisitiza tena ni 10,000 kwa plot bila kujali mabanda yaliyomo.
Na hii ya wajasiriamali ndio mkombozi, pale Tegeta Nyuki sokoni wale wa wanaouza vitu vidogo vidogo wanatozwa ushuru wa sh 1300 kwa siku sawa na sh 39000 kwa mwezi au 468,000 kwa mwaka. Na hii fedha sidhani kama inafika kwa mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni nadhani inaishia kwa wale matumbo tumbo watatu wanaotoza ushuru. Lakini leo ukombozi umewafikia wajasiriamali hawa ambao wengi ni wachagga na sasa watalipa sh 20,000 tu kwa mwaka mzima.
Maendeleo hayana vyama....... CCM hoyeee!
Kama inawezekana aondoe na ule ushuru wa mtu anaenda kumpkea ndugu yake, au kukata ticket ya kusafiri, pale ubungo. ki msingi hakuna chochote mle ndani cha kufanya kilipiwe Tsh 300.Mwanzoni aliagiza kodi ya majengo iwe 10,000 lakini TRA kwa ujuaji wakaweka wathamini ambao wakifika kwako wanakadiria kila banda 10,000 na unaweza kujikuta unalipa hadi 40,000 kwa plot moja. Leo mkuu wa nchi amedisitiza tena ni 10,000 kwa plot bila kujali mabanda yaliyomo.