Nimependa jinsi Rais Magufuli anajiamini kwa hili la Corona, lakini dah! ya kule Italy yanatisha

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,745
48,385
Kiukweli Afrika aidha hiki kitu kinatukosa kosa au kuna sababu zingine za kisayansi ambapo mpaka sasa hakijaonyesha makucha huku, kimetunusia tu, labda Waafrika weusi wawili ndio wameaga dunia, na hata hao wawili walikua na mambo mengine yanayowaathiri.

Wacha tuone hii show, ila nikitazama yanayotokea Italy taifa lenye uwezo mkubwa mara elfu zaidi yetu ila kinawatesa hadi wamepoteana, napata uwoga sana, tuendelee kuomba.

Nimepitia sehemu kwenye mtandao wa kijamii, wazungu wanashangaa sana kwanini hiki kitu kwa Afrika hakionekani kufanya lolote, wengine wanasema kipo huku tena sana ila ni vile hatuna uwezo wa kupima, nimewabishia sana maana kama ingekuwa kweli, basi tungekuwa tunaumwa wengi na kuanguka anguka japo bila ya kujua nini kinatuangusha maana uwezo wa kupima Corona haupo sana huku, ila wengi tunapeta tu mbona.

Ni kweli hata mimi sielewi mbona Afrika tumeponea lakini namshukuru Mola kwa yote. Kama waathiriwa wangekuwa waafrika pekee basi ungeona jinsi CNN na BBC wangetutusi sisi waafrika kwamba we are not civilised, we are primitive and so on. Huwa wanadhani Afrika pekee ndio continent ya majanga mara Ebola mara njaa mara vita. This time round Corona imewakalisha chini hadi wamejua janga linaweza kumpata yeyote. CNN wamekuwa wapole, hawana majivuno maana Corona imetinga America kwenyewe kufanya maangamizi. Yaani hii inafunza kila mtu duniani kwamba tuishi kwa amani na umoja bila ubaguzi wa rangi au dini au jinsia kwani sisi sote tuko katika chungu kimoja tunapikwa kwa pamoja.
 
Umeongea jambo kubwa saana.

Unaona kwenye issue ya HIV wanavyotunanga. Waathirika wengi wangetokea kwetu tungeitwa kila majina.
 
Leo ndo Nimeamini meko sio raisi hana credibility yani ni kiongozi wa ajabu. Haoni china walivyopelekwa resi na corona? Huko italy mamia wanakufa kwa siku alafu Tanzania raisi anasema tuombe mungu? Shit hole country

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu nawewe huwa unakaa nakufufikiri kwamba huwa unaakili..?
Nakuonea huruma Sana!
Rais ni kiongozi wa wenye dini na wasio na dini kalisemelea hilo kwa wale wenye Imani ila sio kwamba hakufanyiki jitihada za kihalisia ndio maana unaona watu wanaimizwa wanawe mikono wajilinde n.k
Wewe unaakili za mkopo hazitoshi hata kwenye kisoda huwezi hufai hata kuwa kiongozi!!.
Binafsi siamini maswala ya kiroho lkn sio kwamba likisemwa lao basi nipinge tu! Kwakuwa zimechukuliwa jitihada za kiuhalisia halafu huko katia neno tu Sasa unapinga nini..??

Nakushauri sali sana hata kama Mimi siamini ila wewe unapoelekea dah😂😂
Wewe ndo wale wanaitwa nyumbu!
 
Kuna nchi za afrika zinaelekea kwenye Winter sijui hali itakuaje.
Usijiulize itakuwaje fikiria hivi kuna wale nyumbu wanaotoka tz kwenda kenya pale mambo yanapobadilika so it'll be like that! I think you know nyumbu how they are doing to move one place to another.😎
 
Wizara ya afya Kenya imetangaza kuanzia tarehe 23(kesho) baa na sehemu za burudani kufunga shughuli saa moja na nusu.
 
We ndo huna akili ,unasumbuliwa na chuki, Imani ya dini ni kuwa hakuna kitu kikubwa katika hii dunia kuliko Mungu iwe ni maradhi au chochote,hili ni swala la Imani, hapo alikuwa kanisani.Vya kaisali mpe kaisali ,vya Mungu mpe Mungu,jinga wewe .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua sala inatibu corona wale mapadri 60 wasingekufa. Au walikua wanaabudu jiwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom