Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,271
- 9,895
Niseme tu ndiyo hospital bora ya macho kwa hapa Jijini Dar, Costomer care wako parfect, mashine za kisasa, wahudumu very coperative unapata huduma za awali kabla ya kumuona Dr.
Wakat wa kusuburi huduma unapata chai, kahawa na huduma ya maji, usafi ni super very toilet safi.
Pia wanapokea bima ya taifa NHIF.
Kifupi jicho langu la upande wa kushoto nikiwa kwenye Computer muda mrefu huwa linauma kama kuna mchanga hivi, nimeenda CCBRT na Rabininsia nilishia kupewa madawa ambayo hayakutibu tatizo dawa hizo niambiwa nitumie macho yote wakati jicho moja ndiyo linashida.
Tofauti na Agerwals ingawa niliwaambia nimekuja kufanya checkup tu ya macho, waligundua kuwa jicho langu la kushoto linashida nikapewa dawa moja tu nikaambiwa nitumie kwa jicho moja lenye shida.
Hivi sasa naona nafuu kubwa sana.