Huyo ndiye Mtanzania pekee aliyeweza kuiongoza wizara ya mambo ya ndani na kikaeleweka,aliweza kutoa siku saba kwa yeyote yule na kabla ya siku hizo kuisha kazi ilifanyika.Watu waliokuwa wakimiliki silaha walizirudisha kwa hiari yao,na aliweza kutamka wazi kuwa kama jeshi la polisi lipo kuna umuhimu gani wa mtu kumiliki silaha..??
Unadhani mwema anaposema interegensia ya polisi anakosea? Wako makini, usione kwa nje kiko hivyo, ndani ni AC full, LAN Full, two-way radio communication system, interrogation chamber, strong room for arms storage, state of the art surveillance system etc chezea bongo weye..ha ha ha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.