nimependa hiki kituo cha polisi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,852
1178cf1b6aL.jpg

mia
 
Kama kinauzwa niambieni, nahitaji banda kuku wangu wa kienyeji.
 
Kilijengwa kwa gharama ya Tshs 500,000,000 kampuni iliyojenga ni ya Mwenyekiti CCM Mkoa na kilifunguliwa na mkulu mwenyewe.
 
Nitaendelea kumkumbuka A. Lyatonga Mrema

Huyo ndiye Mtanzania pekee aliyeweza kuiongoza wizara ya mambo ya ndani na kikaeleweka,aliweza kutoa siku saba kwa yeyote yule na kabla ya siku hizo kuisha kazi ilifanyika.Watu waliokuwa wakimiliki silaha walizirudisha kwa hiari yao,na aliweza kutamka wazi kuwa kama jeshi la polisi lipo kuna umuhimu gani wa mtu kumiliki silaha..??
 
Unadhani mwema anaposema interegensia ya polisi anakosea? Wako makini, usione kwa nje kiko hivyo, ndani ni AC full, LAN Full, two-way radio communication system, interrogation chamber, strong room for arms storage, state of the art surveillance system etc chezea bongo weye..ha ha ha
 
Aaah! uo uzushi tu ni maabusu gani atawekwa apo ata zezeta tu lazima atoroke!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom