Nimependa hii ramani ya nyumba, nataka niifanyie maboresho kidogo

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,708
12,789
Kama mnaovyoona Mungu akijalia nataka na mm nikaanze kibanda changu.

Ni sehemu gani mnanishauri nifanyie maboresho kama sehemu ya toilet ni sahihi, master nk..
Karibuni kwa ushauri
nyumba.png
 
Hicho chumba cha ''MASTER''kama wanavoitaga kimekaa pabaya mchoraji angemodify akaunganisha hivyo vyumba 2 vya kushoto kikawa kimoja bila shaka na reading room ingetokea hapo na pia nashauri uwe na choo cha nje kwa privacy.
BY the way vyumba vinne ni kujitafutia matatizo na ukoo wako yasijetokea ya ALLY KIBA
 
Back
Top Bottom