Nimependa headlines za leo za Mtanzania na The Citizen

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,861
Kwa Hakika Napenda Sana Kutoa Shukran Zangu Kwa Wahariri Wakuu Wa Magazeti Haya Mawili MTANZANIA na The Citizen Toleo La Leo Tarehe 28 Mwezi May Mwaka 2014 Na Nampongeza Mno Mbunge Machachari Wenje na Wabunge Wengine Wote Waliomuunga Mkono Jana Wenje ktk Hotuba Ya Waziri Banabana Maembe wa Jimbo La Kuku na Mtama dhidi Ya Hila na Uonevu wa Taifa Teule La Barani Africa Linaloongozwa Na Comrade PK. Mkitaka Kujua Uhondo Kamili Kwanini Leo GENTAMYCINE Nimeyapenda Magazeti hayo Tajwa Jipatie Nakala Yako Sasa Hivi.

Nawasilisha.
 
Kwenye Ukweli ni bora useme Hawa Intarahamwe wao nikuwaza tu buku saba za Lumumba ndio wanachojua na kudanganya watu Maisha bora sasa yako wapi hapo Maisha bora au ni Bora Maisha kipindi hiki si chakudanganyana danganyana tena Tanzania ya Leo so ile mliyo izoea we are looking for Tanganyika Huru
 
Sasa ndo umeandika nn hiki mku?? Kwa akili yako unafikiri wote tunaweza kufikia magazeti yalipo?
 
Back
Top Bottom