Nimepata wazo baada ya kumsikiliza Anthony Mtaka alipowaapisha Wakuu wa Wilaya Dodoma

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.

Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize. Tutapata mengi toka kwao. Pia tutawatambua ni wepi watawala na wepi viongozi. Wepi wana power adolsence na wepi wana maturity. Wepi wa kusuluhishwa kesi zao na wepi wa kupewa complement.

Karibuni

RC-MTAKA-1B-762x570.png

Hivi yule wa Pwani alikuwa Dar, sijui atasema nn, the guy kama haelewi position aliyonayo
lile nalo lilikuwa shati sana.

hatupendi watu kama makonda,ila watu aina ya yule jamaa nao ni tatizo.
 
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.

Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize. Tutapata mengi toka kwao. Pia tutawatambua ni wepi watawala na wepi viongozi. Wepi wana power adolsence na wepi wana maturity. Wepi wa kusuluhishwa kesi zao na wepi wa kupewa complement.

Karibuni

View attachment 1828010

Hiyo speech iko wapi? Isije kuwa unamaslahi naye binafsi saa hii unampamba hapa.
 
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.

Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize. Tutapata mengi toka kwao. Pia tutawatambua ni wepi watawala na wepi viongozi. Wepi wana power adolsence na wepi wana maturity. Wepi wa kusuluhishwa kesi zao na wepi wa kupewa complement.

Karibuni

View attachment 1828010

Huyu jamaa namheshimu sana. Akiendelea hivi, anastahili kuwa kiongozi wetu mkuu.
 
Rais Samia hakukosea kumtoa huyu jamaa Simiyu na kumweka karibu yake. Mama anapenda kuwa karibu na watu smart vichwani, ni desturi ya kinamama kuvutiwa na substance ya mtu.

Dodoma imetendewa haki, ni wajibu wa wabunge na madiwani kuepuka majungu ili mkoa ufaidike na uwezo wa kiuongozi wa huyu brother.
 
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.

Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize. Tutapata mengi toka kwao. Pia tutawatambua ni wepi watawala na wepi viongozi. Wepi wana power adolsence na wepi wana maturity. Wepi wa kusuluhishwa kesi zao na wepi wa kupewa complement.

Karibuni

Hicho kichwa chako kikoje? Unapata wazo kwa speech? Unaona ni rahisi kujua kiongozi mzuri kwa speech? Huoni kama una matatizo kichwani? Je, uliwahi kusikia speech za Adolf Hitler au Benito Mussolini?

Nimekuuliza, lakini binafsi naona una mapungufu kichwani. Hisia yangu ni kwamba unalazimisha tuendelee kusikia jina la Mtaka na tumjadili ili aonekane ni kiongozi mzuri. Yeye ni mkuu wa mkoa, subili aendelee na kazi na baada ya miaka kadhaa tutamjadili kwa kusimamia matendo, siyo kwa speech. Hata wajinga huweza sana kusoma speech nzuri. Si unajua Samia kusoma kiingereza tu, alipewa sifa na wale wenye matumaini ya kuteuliwa? Alipo tweet kikateleza! Subili mafanikio.
 
Weka speech badala ya picha. Picha yake inafahamika
 
Rais Samia hakukosea kumtoa huyu jamaa Simiyu na kumweka karibu yake. Mama anapenda kuwa karibu na watu smart vichwani, ni desturi ya kinamama kuvutiwa na substance ya mtu.

Dodoma imetendewa haki, ni wajibu wa wabunge na madiwani kuepuka majungu ili mkoa ufaidike na uwezo wa kiuongozi wa huyu brother.
Ni kweli kabisa. He is too big for that position
 
Hicho kichwa chako kikoje? Unapata wazo kwa speech? Unaona ni rahisi kujua kiongozi mzuri kwa speech? Huoni kama una matatizo kichwani? Je, uliwahi kusikia speech za Adolf Hitler au Benito Mussolini?

Nimekuuliza, lakini binafsi naona una mapungufu kichwani. Hisia yangu ni kwamba unalazimisha tuendelee kusikia jina la Mtaka na tumjadili ili aonekane ni kiongozi mzuri. Yeye ni mkuu wa mkoa, subili aendelee na kazi na baada ya miaka kadhaa tutamjadili kwa kusimamia matendo, siyo kwa speech. Hata wajinga huweza sana kusoma speech nzuri. Si unajua Samia kusoma kiingereza tu, alipewa sifa na wale wenye matumaini ya kuteuliwa? Alipo tweet kikateleza! Subili mafanikio.
Sawa Kasesera nimekusikia. Mzee wa trako
 
Back
Top Bottom